Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini......
Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe......
Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!.
Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala ya uchumi.
kutokupata elimu ya uchumi walau kwa uchache inapelekea vijana waingie kwenye vitu vya...
Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu
Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok??
Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa na machozi kuanzia moyoni mpaka machoni.
Imebidi niaze na neno mahusiano, ili huu Uzi uwe hapa ili...
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.
Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma...
Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu.
Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa mchangamfu kweli, tulipiga stori za hapa na pale mpaka alipofika anaposhukia, alikuwa anashukia...
Habari Wakuu , Natumai Mko poa .
Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana na Kua Mpenzi wangu Hapo zamani Ila Alikua rafiki angu sana kwenye Mambo Mengine ya kimaisha ...
Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu.
Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani.
Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond.
Umegombana na wadada wa mjini na...
Ndugu zangu salaam
Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano.
Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae.
Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...!
Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako...
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..
Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..
Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki.
Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba...
Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha.
Naombeni ushauri wadau.
Mahusiano yanapovunjika huwa kuna mabadiliko ambayo hujitokeza ndani ya mwili, Watu wengi hawajui kueleza maumivu hayo husema tu "mapenzi yanauma sana" lakini ukihoji yanauma vipi na sehemu gani wengi hawajui wala hawawezi kueleza.Hivyo basi badala ya kuishi huku unasikia stori za mapenzi...
Habari zenu wana JamiiForums.
Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali,
Leo nahitaji maoni yenu kwa wale(wanaume) walioamua kuwapiga chini wapenzi wao wa muda mrefu waliokuwa wamepanga mipango na kuahidiana...
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya...
Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali
Mwanamke wa kwanza;
Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari...
Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza.
Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU...
Mambo 5 ambayo MWANAMKE hutakiwi kuficha pale unapoanza MAHUSIANO!
(1) Umri wako; Kuna wanaume wanajali kuhusu umri, najua unaogopa labda ukimuambia ukweli atakukimbia, ila jua kuwa ipo siku ataujua ukweli, kwa maana hiyo muambie mapema, ili asije kukuacha tayari ushampenda na ushapoteza muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.