Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea,
Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali
kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake
Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.
Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo, kwani mkoa unashughulika na majambazi.
Soma Pia: Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa...
Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo cha mauaji ya kiongozi huyo na wanaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuundwa kwa tume huru...
Hii kauli ya kuwa Serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo.
Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera za ujamaa na kujitegemea kwa mujibu wa katiba yake.
Mpaka unajiuliza huo ujamaa na kujitegemea upo...
ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike.
Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI
Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
1. Kama Mkuu wa Kituo cha PolisI anaweza shirikiana na wenzake wakaiba hela kisha wakamuua kabisa mtu,
2. Mfanyabiashara aliefariki "Kwa kujupiga risasi" anakwambia polisi alimpigia afisa wa TRA akimwambia "Njoo kuna deal kubwa", na afisa akaja akiwa kavaa pensi na ndala akiongozana na askari...
Majambazi wanaodaiwa kutumia Pikipiki huku wakiwa na silaha za moto wamewateka Watu 100 Upande wa Kaskazini Magharibi mwa #Nigeria katika Vijiji vya Jimbo la Zamfara.
Wenyeji wa Vijiji husika wanadai utekaji huo umefanyika kwa Watu walioshindwa kulipa 'kodi' iliyodaiwa na Watekaji hao, ikiwa ni...
Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0.
Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
Nakumbuka, ilikuwa katikati ya miaka ya 90 nikiwa nasoma katika moja ya shule za sekondari katika moja ya wilaya zilizopakana na nchi za Rwanda na Burundi.
Ikumbukwe ni katika miaka hiyo yalikuwa yameanza mapigano ya kikabila yaliyokuwa yamezuka nchini Rwanda Kati ya Watutsi na Wahutu nchini...
Wasalaam nyote,
Kwa ufupi ifahamike hivyo ya kwamba kuna Nchi nyingi tu za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola.
Kwa msingi huo usitarajie miujiza ya hivyo vyombo kufanya kazi kwa ustawi wa jamii zao na nchi zao.
Ni hayo tu.
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz
OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya kufanya uovu wao wote.
OCD tuma Timu ya wapelelezi kwenye hiyo nyumba na wasiwe maaskari wapenda rushwa...
Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo itaendelea bila ukomo mpaka litakapotolewa tangazo jengine.
=======
Hundreds of employees at...
Watu kadhaa wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali wamevamia maduka yanayofanya biashara za miamala ya kifedha katikati ya Mji wa Bariadi usiku wa kuamkia Juni 8, 2023.
Wahalifu hao wamevunja milango lakini wakashindwa kuvunja boksi za kuhifadhia fedha ambazo ndizo walikuwa...
Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu
Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa.
Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga...
Majambazi wanne wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35, wameuawa na polisi wakiwa katika harakati za kufanya tukio la unyang’anyi kwa kutumia silaha eneo la Kisasa jijini hapa.
Majambazi hao walivamia nyumba ya Edina Joseph (41) jana saa tatu usiku kwa kuruka uzio wa nyumba yake wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.