KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WANNE NA KUPATIKANA BASTOLA MOJA, RISASI MOJA, MAGANDA MANNE YA RISASI NA MILIPUKO MIWILI YA KUTENGENEZA KIENYEJI.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi kazi chake kimefanikiwa kuwaua majambazi...
Inasemekana kuwa kwa wale wakazi wazoefu wa Arusha wanaifahamu Ngulelo ambayo inakaribiana na kwa Mrefu.
Haya maeneo yanasifika kuwa makazi ya majambazi au wahalifu baadhi yao wakiwa majambazi wastaafu.
Hebu tuongezee sifa zaidi za eneo hili ndani ya Jiji la Arusha.
Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa maisha. hawa ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi hapa mjini.
Ila kiuhalisia tusilaumiwe mana...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti.
Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
Ndugu Watanzania wenzangu ni nani anayeilinda kampuni ya Bayport Financial services. Taasisi hii imelalamikiwa muda mrefu mpaka malalamiko kutinga bungeni lakini bado ipo na inawaibia, kuwadhulumu watanzania hasa walimu wa nchi hii. Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Itilima niliwahi...
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...
Wakuu jioni hii hapa Newala(Mtwara) limetokea tukio la Jambazi mwenye silaha kuvamia kituo cha mafuta Kiduni na kupora fedha. Wakati anaondoka eneo la tukio kaua Raia mmoja, hata hivyo wananchi wenye hasira walimfuatilia jambazi huyu ambaye alishindwa kutoroka baada ya mtu mwenye pikipiki ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.