Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara
Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi,
Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20)
Toka Juni 2021...
Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia
Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi
Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha
Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru
Walipiga watu waliokuwa...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, na kufanikiwa kupata bunduki moja aina ya AK47 ikiwa na magazine moja yenye risasi 25 na mabomu mawili ya kutupwa kwa mkono.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera...
Watu wawili wanaodaiwa kuwa wezi wameuawa na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Bukungu, Kata ya Kharumwa wilayani Nyang’hwale mkoani Geita baada ya watu hao kuvamia nyumba za watu usiku kisha kupora na kubaka baaadhi ya wanawake.
Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Jamhuri Wiliam amethibitisha...
Dar es Salam ilikaa kwa shwari
Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika
Majambazi walikimbia na kuaicha Dar.
Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, tarehe 08/1/2023 saa 6 :30 mchana eneo la Mabibo External Kinondoni lilifanikiwa kuwakamata majambazi sugu wanne wakiwemo Athuman Yusuph Mbalilo SOTI (50) Mkazi wa Kimara Temboni, Mpoki Raphael @ Mwangwisya (41) mkazi wa Mbezi Luis na wengine wawili...
Richard Nzumbe mkazi wa mtaa wa Butengwa Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia akidaiwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakati anaingia nyumbani kwake.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 1 usiku wakati akitoka kazini kwake alipofika nyumbani kwake ndipo alishambuliwa na watu...
Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP William Mwampagale amesema tukio lilifanyika kwenye operasheni maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi la watu waliopanga kufanya uhalifu.
Amesema kundi lilikuwa na wanaume 5 na katika uchunguzi wa awali walibaini wamekuwa wakifanya matukio ya unyang’anyi wa...
Deodatus Thadei Luhela, Mhasibu wa Kampuni ya ‘Your Home Choice’’ amekamatwa kwa kutoa taarifa za uongo akidai Majambazi walimjeruhi na kumpora fedha za Mwajiri wake.
Mtuhumiwa alifungua kesi ya unyang'anyi kituo cha Polisi Chang’ombe, baada kubanwa kwa maswali ya Askari, aliwapeleka Chanika...
Hii Dunia hii ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Watu wa Mikoani wameanza kuitikia Chorus. Arusha maeneo ya Ngalelo. Majambazi wanapita mchana wanaangalia duka wanalopenda wanapora wanaenda na la pili mpaka manne sometimes. Wanaondoka zao.
Najiuliza wananchi wanafanya nini? Wanakuja...
Wana Jamii Forums nawasalimu nyote
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji.
Hii kampuni...
Zipo tuhuma nzito Sana zinazomkabili aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga, kuhusiana na kile kinachoitwa "plea bargaining" mtindo uliobuniwa wakati wa utawala wa awamu ya 5, ambapo watuhumiwa "waliobambikiwa" makosa, wakati wa utawala wa awamu ya 5, "walilazinishwa" kukiri makosa na hivyo kukamuliwa...
Nakumbuka ilikuwa 2013, bana wee sitaka nisahau maishani mwangu.
Nakumbuka nilipiga kazi kwenye biashara yangu, nikajikusanyia pesa nzuri tu sio chini ya million 2, ghetto nilipapendezesha vizuri sana.
Chumba changu kilikuwa pembezoni na mto Arusha eneo nililopewa na wazazi wangu pamezungukwa...
RPC Kilimanjaro
Kuna genge la wahuni wakimiliki wa na wenye bar. Maeneo ya Kisambo Moshi mpaka Mwika
Wezi hawa hutumia pikipiki kuja na kulewa bar huku wakiangalia nani wa enjoy genge hili liko bar za Kisambo mipaka Mwika.
Inapofika saa tano wahuni hawa hutangaza hali ya hatari na hata...
Wakazi wa Kijiji cha Nyamakobiti, Kata ya Majimoto, mkoani Mara, wametaka warejeshewe madaraka ya kutumia mila na desturi zao katika kushughulikia wahalifu sugu, wakiwamo majambazi, ikiwa polisi watatishwa na maneno ya wanasiasa.
Hayo yameelezwa kupitia mkutano wa hadhara, ulioandaliwa na...
Majambazi wanalitesa sana taifa letu.
Mtu anaye kuwa na ushahidi wa kumiliki silaha haramu na kujifanya anapambana na polisi basi hao sharp shooters wafanye kweli kabla hajavuta triger awe amekula kama kumi.
Taifa linatakiwa kuwa huru na watu wawe huru kufanya ujasiriamali na wala sio kuwaza...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo Changarawe, Mafinga Mjini wilayani Mufindi.
Watu hao wameuawa katika majibizano ya risasi yaliyotokea...
Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.