Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshuku mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya majambazi wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, kikitoa hoja nne kuthibitisha mashaka yake.
Mashaka hayo yanaibuka ikiwa ni karibu wiki moja tangu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mara, Longinus...
Ndugu zangu uhai wa binadamu yeyote ni muhimu sana, Ila hata Muumba katika maandiko kadhaa aliongoza vita na mamia wakaangamia.
Ukweli mchungu majambazi wapo ni watu hatari na wabaya wanapoteza uhai wa watu kwa tamaa ya Mali.
Wanamiliki silaha hatari, kuzikodisha na kufanya mipango ovu kupora...
Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la...
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
Waungwana, nina kibanda changu hapa Babati kipo nje ya Mji kidogo ambako umeme wa TANESCO/REA bado haujafika.
Nilipoona matangazo ya Kampuni ya Sola ya Mysol yenye Makao Makuu Arusha kwenye Television nikaona nifanye mchakato wa kupata Sola Moja ya Mkopo.
Nikapiga simu na kupewa maelekezo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Mtatiro Kitinkwi
Majambazi wawili ambao majina yao hayajafahamika wameuawa na wananchi wilayani Kilwa Mkoani Lindi, baada ya kuvamia duka la mfanyabiashara mmoja na kupora fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni 1.2.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Mtatiro...
Habari!
Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake.
Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
Unaweza fikiri labda ni utani lakini hili ni tukio lililonipata miaka zaidi ya kumi wakati nikiwa mfanyabiashara wa samaki
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumanne nikiwa nimeenda kuuza samaki kijiji kimoja cha huko Muleba nikiwa mimi na mjomba wangu
Kijiji hicho kilisifika kwa wizi & ujambazi...
Je, ulishawahi kutumia japo dakika chache kuwaza 'Saikolojia ya wezi?
Wizi ni sanaa ya kuchukua kisicho halali yako! Wizi ni sayansi ya kujimilikisha visivyo vyako!
Je; Inakuwaje mtu anakua mwizi?
Chimbuko kuu la wizi ni DHIKI, TAMAA au MATATIZO YA KISAIKOLOJIA
Chimbuko la kwanza la wizi...
The school bus that was attacked by bandits in Marakwet West (left). Some of the injured students admitted at Kapsowar hospital in Elgeyo Marakwet (right)
A driver died and 13 students along with two teachers were injured on Thursday night after bandits attacked a convoy of school buses in...
Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM.
Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama Diwani, tajiri na mfanyabiashara maarufu. Lakini kwa ndani Mabina alikuwa jambazi na katili sana...
Hiki chuo kilianziasha mafunzo kwa ngazi ya Masters kwa mfumo wa long distance learning. Na hoja zao ilikuwa kuwa watakuwa wanaweka recorded video za masomo ya darasani kwenye moodle yao ili wale wa blended wawe na uwezo wa kujipakulia na kusoma.
Lakini baada ya kuchukua ada zetu simu zao...
Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZF
Kenya hakuna askari. Vibaka wanne wamewaendesha polisi wa Kenya kutwa nzima. Hapa kwetu Tanzania ni jeshi la sungusungu tu lingetosha kuwadhibiti ndani ya dakika 45 tu.
Poleni wakenya.
Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu.
Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi.
Namba...
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
Baada ya ya vita vya Kagera siraha zilitapakaa sana mkoani Mwanza na kanda ya ziwa.
Majambazi wakubwa waliotikisa jiji la Mwanza miaka ya 19805-1988 ni Methu na Nyamhanga. Hivi hawa watu bado wapo?
Nyamhanga kwao ilikuwa milima ya Nyashana. Methu alikiwa akiishi maeneo ya Mkudi.
Siku moja...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka Askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao ili kuweza kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu pamoja na vitendo vingine vya uvunjifu wa amani vinavyojitokeza kwenye jamii.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema katika operesheni ya kuwasaka majambazi inayoendelea nchini kati ya majambazi kumi wanaokamatwa mitaani, watatu wanatoka gerezeni.
Amesema kuwafunga majambazi hao hakusaidii sana kwa sababu wanarudi mitaani na kuendelea kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.