majambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Simbachawene: Majambazi yamenyamazishwa kimyakimya nchini, msako wabakaji, waporaji waendelea

    Na Felix Mwagara, MOHA – Kibakwe. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Jeshi la Polisi limewanyamazisha majambazi kimyakimya katika maeneo mbalimbali nchini baada ya hivi karibuni walipotaka kuijaribu Serikali. Amesema operesheni ya kwanza ya kupambana na majambazi...
  2. MAHANJU

    CCM tunapoitwa Chama cha Majambazi tuone aibu tujisafishe, Utetezi wa majambazi si sehemu yetu

    Kama ambavyo wapinzanzani wetu wamekua wakitupachika kina la Chama cha Majambazi kutokana viashiria vya matendo ya wanaccm wachache waliothaminiwa wakapewa nafasi serikali na chama lakini wanaendekeza tamaa, Wizi, unyang'anyi, utapeli, Ubabe, uonevu na uporaji wa mali za watu. Hii siyo misingi...
  3. Chukwu emeka

    Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

    Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya. Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya...
  4. ndege JOHN

    Tupeane updates za matukio ya wizi mitaani

    Heshima kwenu wanabodi, Wakubwa shikamooni, Ninaleta Uzi huu lengo tuweke wazi matukio ya wizi ambayo yamerudi kwa kasi nchini. Naombeni tuonyeshe jinsi gani wajanja wa mjini wanatuumiza. Imefika kipindi mpaka watu wameuawa kisoosoo. Watu wanaibiwa maduka sio poa. Okay, kwa kuanza binafsi...
  5. data

    Simon Sirro uliwabipu majambazi, wamekupigia umebaki unahaha

    Sirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"... Wki hizi mbili nimekaa nikiitafakari kauli ile ya Hayati. Alipo isema awali..wengi tulihisi amekudhalilisha...amekudharau na anaingilia mamlaka. Tulikuonea huruma. Kumbe hukustahili kuonewa huruma hata kidogo...
  6. D

    Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

    Ndugu wana JF, Wizi na udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani. Ndugu wananchi tuwe makini na ulinzi binafsi wa nyumbani. Sungusungu mtaani. Ikiwezekana tufanye mazoezi ya kutosha ili mwizi akiingia Chanel zako unammaliza kimya kimya kuna mzee hapa kaibiwa katoka na kitambi anahema...
  7. Leak

    RC Makalla amuagiza Kamanda Wambura kuwapora silaha majambazi kabla hawajazitumia, amtaka awape ‘show’ kali

    Habari wanajamvi Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana RC Makalla kwa kauli yake leo juu ya uhalifu na ujambazi unao endelea jiji la Dare-es -saaam kwa kuwataka jeshi la polisi kuwapora haraka silaha majambazi kabla hawajazitumia. Ni ukweli ulio wazi majambazi wameanza kutishia amani na...
  8. Roving Journalist

    SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
  9. M

    Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  10. Analogia Malenga

    Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu na kukamata silaha moja bastola aina ya REVOLVER. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa inasema kuwa Mnamo tarehe 11/05/2021 majira ya saa tatu...
  11. M-mbabe

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya kutoweka kwa "wasiojulikana" na kuibuka kwa "majambazi" nchini?

    Ni mwaka jana tu hapa tulikuwa tukihabarishwa mara kadhaa kuwa baadhi ya wananchi (hususani wanaharakati na wanasiasa) walikuwa "wakitwaliwa" na watu "wasiojulikana". Hili iko well documented na sidhani kuna haja ya kupoteza muda kulirudia hapa. Kuanzia mwezi jana kumekuwepo na wimbi la...
  12. mediaman

    Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

    Wana bodi, naomba niwapashe habari ya tukio la hatari sana nililokutana nalo siku chache zilizopita. Kweli Waswahili hawakukosea waliposema: "duniani kuna mambo... tembea uone." Siku hiyo ya tukio, mimi na marafiki zangu wawili tulikuwa tunafanya kazi fulani nyumbani kwangu kuanzia jioni. Kazi...
  13. M

    Majambazi wamerudi upya, sasa hivi wananyonga hawaulizi

    Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu. Kwa mujibu wa...
  14. Mystery

    Kwa vitendo vilivyokuwa vikifanywa na kile kikosi cha Task Force cha TRA, Je Serikali ilikuwa na tofauti gani na majambazi?

    Kwa kweli kwa kila mtu aliyemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akilihutubia Taifa kupitia social media, kuhusu madhira aliyopitia kwa miaka 5 mfululizo ya kunyanyaswa na kuteswa hadi kufungiwa akaunti zake za benki na hicho kinachoitwa Task Force ya TRA, hakika atakuwa amelengwa...
  15. J

    RC Mghwira: TRA acheni kufanya kazi kama polisi Wafanyabiashara siyo majambazi, mbunge asema kuwa tajiri imekuwa dhambi

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja. Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku. Naye mbunge wa Hai mh...
  16. C

    Tuliokoswakoswa kuuawa na majambazi tukutane huku

    Naanza kwa kusema MUNGU mkubwa na ashukuriwe. Naanza kwa kusema majambazi ni watu wabaya Sana tena ni hatari, Binafsi nilikuwa na sehemu yangu ya biashara na nikianzisha biashara ya stationary nikavutiwa na biashara ya kuuza vocha za simu kwa jumla... Siku ya siku ikafika mchana wa saa 8:30...
  17. B

    Runzewe Majambazi wavamia, waiba Ng'ombe, wajeruhi vibaya

    Ujambazi umetokea Kijiji cha musasa, Runzewe Ushirombo. Hali Ni ya Taharuki usiku wa kuamkia leo! Wafugaji waogopa Sana kuona matukio haya yamerudi upyaaa! Polisi tusaidieni
  18. dubu

    Kahama: Majambazi wauawa kwa kupigwa mawe walipovamia kibanda cha M-PESA

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni Majambazi wameuawa kwa kupigwa mawe na wananchi baada ya majambazi hao kuvamia duka la M-Pesa na kufyatua baruti hewani kisha kumshambulia kwa kumpiga mabapa ya panga mmiliki wa kibanda cha M-Pesa na...
  19. lyinga

    Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

    Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa...
  20. M

    Wasafi FM imewanin'giniza wenzao Clouds FM baada ya kufungiwa na TCRA kuwaita majambazi

    Nimewasikia Wasafi fm leo asubui kupitia kwa mtangazaji wake anaijiita jina baya la Beberu, Zembwela alitoa mfano kuwa kifo hata cha jambazi ni lazima tuuzunike kwani na yeye ana mchango fulani katika jamii Zembwela alikwenda mbali zaidi na kutoa mfano kuwa, kuna jambazi ambaye aliiba banki na...
Back
Top Bottom