maji ya mvua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pesa za kukabiliana na El Nino zinatumika kuziba mitaro ya maji ya mvua kando ya barabara Mbagala Rangitatu.

    Katika hali ambayo si ya kawaida manispaa ya Temeke imeamua kukifanya tunacho katazwa, manispaa ya Temeke inaziba mitaro ya maji ya mvua kwa kutumia mbao kisha kuwauzia wafanyabiashara eneo la juu ya mtaro futi 4×4 shs. 200,000/=
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tembelea Mbagala biasi Temeke uone Manispaa ilivyoziba Mitaro ya Maji ya Mvua

    Katika hali ya kushangaza, wakati manispaa zinatakiwa zisafishe mitaro ya maji ya mvua, manispaa ya Temeke imeamua kuziba mitaro hiyo ya Mbagala Rangitatu Biasi ili maji yasambae barabarani! Nini kitatokea wakati wa mvua za El Nino tusubiri tuone utafiti huu mpya.
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria inayosimamia matumizi ya maji ya mvua?

    Wakati ubinafsishaji umepamba moto Bolivia walibinafsisha DAWASCO yao kwa kampuni ya France. Kampuni ikapiga marufuku wananchi wa mji kukinga maji ya mvua. Ilisema hayo ndiyo yanaingia ardhini na kwenye vijito ambako wao hukinga. Wananchi waliandama na kampuni ikafurushwa. Juzi kati kuna jiji...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Je, maji ya mvua huwa yanaweza kuharibika muda mfupi baada ya kukingwa kutokana na bakteria

    Wakuu Nimekuwa nikikutana na madai kwamba maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya kuchotwa. Naomba kufahamu ni kwa nini maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya siku kadhaa baada ya kukingwa,na pia huku mitaani kwetu tunayawekea chumvi kidogo kwa iman kuwa hayata haribika,je ni kweli chumvi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Marekani ni kosa kisheria kuvuna maji ya mvua?

    Wakuu nimekutana na hii mtu kaandika huko X "Inasemekana kuvuna maji ya Mvua ndani ya USA ni Kosa na unapigwa faini au kifungo.Mwenye anajua hii atuelezee please"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…