maji

  1. GoldDhahabu

    Ni kweli uchawi hauwezi "kuvuka" maji?

    Kipindi fulani, nikiwa ninafanyia shughuli zangu maeneo ya machimbo ya dhahabu, nilifahamiana na kijana mmoja kutoka mkoani Kigoma. Alikuwa anafanya vibarua machimboni. Kuna wakati alinifuata kwa ajili ya kuniomba ushauri. Aliniambia kuwa alikuja machimboni kama njia ya kumtoroka babu yake...
  2. A

    KERO Ukosefu wa Maji baadhi ya maeneo ya Tabata

    Ndugu DAWASA na Waziri wa maji, Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na licha ya kupiga simu mara kwa mara kwa laini ya huduma kwa wateja, tumeambiwa kwamba hawana taarifa...
  3. Pascal Mayalla

    Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  4. Pang Fung Mi

    Ongezeka la wanawake wasiopenda kuoga maji baridi inatisha hasa hawa GenZ

    Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa. Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi...
  5. M

    Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  6. A

    KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  7. BUSH BIN LADEN

    Kuku na ndege wengine wanatumia hisia gani kutambua maji?

    Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao. Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent ambao ni muonekano yalionayo maji(pure water). Je ndege wanatambuaje kwamba ulichowatengea mbele yao...
  8. Tempest

    Uwekaji wa tank la maji

    Habari wadau Nataka kuweka tank juu la 3000 lita liingize maji ndani sababu maji ys dawasa hayaeleweki yaani kutoka siku tatu mfululizo ni bahati kwahyo ikitokea hakuna ni mwendo wa kutoka na ndoo nje kuchota kwenye tank Je tank likiwa juu presha ya maji inakuwa nzuri kutumia kama kwenye...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  10. P

    HIVI RAIS ANAJUA KAMA KUNA SHIDA YA MAJI DAR?

    Katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya wananchi serikali ina husika moja kwa moja kuhakikisha watu/wananchi wake wanapata maendeleo endelevu. Huku wananchi tukiwa tunajitutumua kuhakikisha tunaishi vizuri, ni vyema serikali nayo ikatoa kwa ubora huduma za msingi kwa wananchi wake...
  11. Roving Journalist

    DAWASA yasema imewaunganishia Huduma ya Maji Wakazi 1420 wapya

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa jumla ya wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambalo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Zoezi hilo limeendelea katika...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Pre GE2025 Lissu kugombea urais 2025 ni kutwanga maji kwenye kinu na kuwanyima haki Watanzania wapenda mabadiliko

    Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela. Taifa hili...
  13. GoldDhahabu

    Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

    "Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama! Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
  14. Basi Nenda

    Umewahi kuuziwa maji ya Bomba dukani?

    Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji makubwa ya baridi,nikaletewa ila yana ladha ya ajabu japo yalikuwa na seal ( 2. Nilinunua duka la...
  15. chiembe

    Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

    Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea vya magonjwa. Si ajabu mkoa wa Morogoro una maambukizi makubwa sana ya magonjwa ya matumbo, hasa...
  16. SAYVILLE

    Madhara ya maji ya chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani

    Wakuu, Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani. Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo: 1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa? 2. Kupikia - yana...
  17. Roving Journalist

    DAWASA yafafanua sababu za Wakazi wa Muheza Kibaha kukosa huduma ya maji kwa wiki nzima

    Baada ya malalamiko ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wananchi wa Mtaa wa Muheza na Tankini, Kibaha-Maili Moja Mkoani Pwani hawana huduma ya maji kwa muda wa wiki moja, Mamlaka imeto ufafanuzi. Kusoma malalamiko ya Mdau, bofya hapa ~ Wananchi wa Tankini na Muheza - Kibaha hatuna huduma ya...
  18. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini haiwezekani kuyachoma moto maji?

    Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo. Whats the mechanism behind this fire resistance?
  19. ngara23

    Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
Back
Top Bottom