maji

  1. A

    KERO Mfumo wa Gesi uliopo Ubungo Interchange unavuja na kuleta kero kwa Wanafunzi Chuo cha Maji

    Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu. Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili
  2. Technophilic Pool

    Nimeweka shabu maji lakini bado meusi?

    wataaalam wa teknologia ya maji KAMA TUJUAVYO shabu inasafisha na kung’arisha maji.Nimenunua nimeweka kisimani lakin maji bado yana rangi ya juice cola!! Mbinu gan nyingine ya kitaalam nimesahau
  3. Pfizer

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  4. Kaka yake shetani

    Mungu ni maji

    Kauli kwamba "Mungu ni maji" ina maana tofauti kulingana na muktadha na imani ya mtu. Kwa kawaida, hii si kauli ya moja kwa moja kutoka kwa maandiko ya kidini, lakini inaweza kueleweka kwa njia mbalimbali za kiroho na kifalsafa. Katika dini na falsafa nyingi, maji hutumiwa kama mfano wa Mungu...
  5. A

    KERO Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza

    Wadau, Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki. Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata mchana maramoja kwa wiki au wanatolewa usiku wa manane! Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa (Butimba)...
  6. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa Tabora azindua Mradi wa Maji uliogharimu Tsh. Milioni 975

    Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula. Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
  7. meemi

    KERO Kero ya kukatika maji Kawe Ukwamani

    Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na uchafu huku wahusika wakikaa kimya na viongozi wa serikali ya mtaa kutoshughulika na kero hii...
  8. N

    Ujenzi wa Shimo la kuhifadhia maji ya ujenzi

    Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea. Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7, naomba kufahamu Kwa ujazo huo je, inanipasa nichimbe shimo Kwa vipimo gani? (Yani nichimbe futi ngapi...
  9. Pfizer

    Dkt Mwigulu, Juma Aweso na Emmanuel Cherehani, wameshuhudia utiaji saini mradi wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa Victoria

    DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji...
  10. Gulio Tanzania

    Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

    Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
  11. Mama Edina

    Hivi ni kwanini kuna maeneo hapa jijini hakuna maji na watu wamekaa kimya?

    Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani? Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure. Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi? Au wamekosea nini hawa raia? Bila shaka mtandao wa maji kutokea kimara una kasoro...wahusika fuatilieni. - DOKEZO - Malalamiko...
  12. Mr mutuu

    Ujana maji ya moto

    Wakuu muda sio muda natarajia Kula hiki kipande (Mombo to Segerea) naelekea Tanga, katika memory zangu sitakaa nikisahau hiki kipande kabisa, kila nikipita hapa huwa nacheka, it happened kama miaka 12 iliyopita nikipita kipande hiki na pikipiki usiku mnene, nafata nini? Ndo kichekesho sasa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja

    "Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha madawati ya vituo vya huduma kwa wateja kwa Mamlaka zote za Maji na Usafi wa Mazingira nchini ambapo huwa na jukumu la kupokea taarifa za huduma, maoni, ushauri na malalamiko ikiwemo bili za Maji kutoka kwa wateja na wadau mbalimbali. Baada ya...
  14. Bwana kaduga

    SoC04 Utatuzi wa Kero ya Maji

    Asante sana JAMII FORUMS kwa kutuletea STORY OF CHANGE. Bila shaka viongozi wamekuwa wakisikia changamoto ya maji karibia TANZANIA nzima, ama kwa hakika TANZANIA TUITAKAYO ni ile ya viongozi kuweza kupokea malalamiko ya wananchi wao na kuitatua kwa wakati. Tunataka nchi nzima iwe na maji ya...
  15. BigTall

    Upigaji vituo vya mabasi, Kituo cha Magufuli chawalipia wapangaji bili ya umeme na maji Tsh. Milioni 563.02

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini. Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
  16. R

    Mbagala Maji Meusi (MATITU), mji wa kuogofya

    Salaam,Shalom. Leo nitarudia kuandika japo kidogo kuhusu mji huu maana niliwahi kujaribu kuandika miezi kadhaa iliyopita, thread ilifutika yenyewe. Mbagala Saku, Maji MATITU, maji meusi ndipo Hasa kilipo KITI Cha enzi Cha muungu wa Nchi ya Nyikani, wanajua waliyoyafanya hao viongozi wa watu...
  17. J

    Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
  18. A

    KERO Maji machafu toka machinjio ya Vingunguti

    Habari, Natumaini n mzima wa afya , wananchi wa wilaya ya ilala kata ya vingunguti tuna kero ambayo inaenda miaka miwili na nusu sasa ya maji machafu ambayo yanakuja mitaani kutoka kwenye mabucha mapya ya Vingunguti na kuwa kero kubwa kwa wananchi. Tumejaribu kufuatilia pamoja na kuwasiliana...
  19. Story Zaukweli

    SoC04 Maporomoko ya maji ya asili katika vijiji, yawe chanzo cha umeme katika Kijiji husika na vijiji jirani, ili kuongeza ufikiwaji wa umeme nchi nzima

    Utangulizi; Kurahisisha ufikishaji wa umeme nchi nzima na utoshelevu, ni lazma vyanzo vipya vya uzalishaji wa nishati viongezeke kutokana na mazingira husika. Kama sehemu yenye milima iliyo na maporomoko ya maji Kama njombe na milima ya upare, ambayo ina maporomoko mengi ambayo hayatumiki...
  20. J

    Pre GE2025 Makonda asikitishwa kuona kisima cha maji kilichogharimu tsh milioni 600 Longido hakiwanufaishi wakazi wa eneo hilo

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
Back
Top Bottom