Nainaishi tegetar maguzo.
Kuna jirani anafungulia maji taka, inavyoelekea choo kimejaa hivyo mvua zinaponyesha hutukua fursa hiyo kuflash choo.
Sikukaa kimya nikamueleza adha inayonikumba. Bahati nzuri naishi peke yangu (chumba, jiko, sebule ndogo na stoo) sometimes nauvuta mwenza wangu...