maji

  1. Pdidy

    Naulizia tu..Pugu Boys...aka pond boys yalee maji ya fungus bado yapo??maana wengine yalututesa sana na kupunguza HATA uzao...

    Wale mliopotia pugu sec myanielewa Wengine waliitea pond boys Wengine fungus boys Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine Hawakufanikiwa kupata uzaooo Na HATA walee waliopanga watoto wengi wakaishia MMOJA ama wwawililii maana Ile...
  2. N

    Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  3. Roving Journalist

    KERO Singida: Wanawake wanachota maji kwenda nayo Zahanati wakati wa kujifungua katika Kijiji cha Dominiki

    Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma ya matibabu katika Zahanati ya Domoniki inayopatikana kwenye kata hiyo. Wakizungumza kwa nyakati...
  4. Yoda

    DeepSeek ni AI iliyokunywa maji ya bendera ya chama cha Kikomunisti China

    Hii AI ikiulizwa masuala ya siasa za China zenye utata inapatwa kigugumuzi cha ghafla.
  5. Mshana Jr

    Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

    🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma Chunusi Psoriasis Inasaidia follicles za nywele kukua Hurudisha Utumbo Uliojikunja Inaua Bakteria Inaua Fangasi aina ya Mould Inaondoa fangasi aitwaye candida yeast Husaidia ktk usagaji chakula...
  6. Nyarupala

    Nimechoka kufungiwa MITA ya maji na jirani yangu

    Hello waungwana! Ni sasa kama mwaka wa pili unaenda Niko na jirani yangu hapa kutokana na kuwa kwa Dar es Salaam kuwa ya mgao wa maji muda wote mwaka mzima, basi huyu jirani akiona maji yanatoka kazi yake ni kufunga MITA yangu ya maji ili maji yote yaende kwake. Ananisababishia hasara...
  7. A

    KERO Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi

    Salaam wakuu Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa yoyote kutoka Dawasa Kinyerezi ya kwanini huduma hiyo haipatikani Tatizo la Maji maeneo haya...
  8. Roving Journalist

    MWAUWASA: Tunafahamu changamoto ya Maji katika baadhi ya maeneo Nyegezi, tunaifanyia kazi

    Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ijitafakari kwa kuwa inawakwamisha Wananchi wengi wa maeneo hayo, Mamlaka hiyo...
  9. A

    KERO Kero ya Maji Lukobe - Morogoro

    Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro. Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu kwasababu Morogoro ni mkoa ambao una vyanzo vingi sana vya maji, lakini wananchi wa manispaa ya Morogoro...
  10. U

    Zipi Sababu baada ya kuweka pamoja kwa friji chupa 3 za maji kampuni uhai, hill na kilimanjaro, nimekuta chupa 1 tu ndiyo imeganda kabisa?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda Mazingira...
  11. mirindimo

    Aweso: kwanini dawasco wanakata maji ijumaa na jmosi ?

    Kuna kero ya maji sana na Dawasco hawasemi chochote hakuna taarifa rasmi wala maelezo. Kuna namna watendaji wa chini wa serikalini wanafanya kazi kimazoea hii hali iliisha kipindi cha Hayati Magu lakini naona imerudi kwa kasi ya ajabu. Iweje Dawasco wakate maji ijumaa na Jmosi ? Yaani kiufupi...
  12. Roving Journalist

    Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya: Maji tunayozalisha ni 58% ya mahitaji yanayotakiwa kwa siku

    Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) imefafanua kuwa kuna mgawo na pia uzalishaji haukidhi mahitaji ya Mkoa. Kusoma hoja...
  13. K

    KERO Uongozi wa Mkoa wa Mbeya unaendelea kudhibiti Kipindupindu lakini Wakazi wa Isyesye hatuna Huduma ya Maji kwa wiki sasa, hii inarudisha nyuma juhudi

    Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji majibu yanayoeleweka. Hii sio mara ya kwanza, kila inapotokea kunakuwa na ugumu kwa kupata majibu...
  14. N

    KERO Maktaba ya Vitabu Zanzibar haina Huduma ya Maji, Watumishi na Wanachama tunateseka, tupo hatarini kupata magonjwa

    Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
  15. Roving Journalist

    SUWASA: Yasogeza huduma ya maji kwa Wananchi wa Mtaa wa Mungu Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma imefanikiwa kuwasogezea maji safi na salama wananchi wa mtaa wa Mungu Maji uliopo Manispaa ya Singida, hatua inayolenga kumtua mama ndoo kichwani. Mradi huo uliofadhiliwa na SUWASA na kusimamiwa na...
  16. P

    Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  17. Roving Journalist

     DC Busega: Madai ya Mgodi wa Dhahabu kutiririsha maji yenye sumu kwenye mto lilifanyiwa kazi

    Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji yanayodaiwa kuwa na sumu kwenye mto. Mgodi huo ambao unamilikiwa na Mzawa pamoja na raia wa kigeni...
  18. W

    Nakunywa pungufu ya robo lita ya maji kwa siku, sioni madhara ya kiafya, Je ni kweli maji ni afya?

    Nimekuwa nikiona mara kadhaa inabidi mtu anywe lita 1 ya maji au zaidi kwa siku ili kulinda afya, kwangu hali ni tofauti. Kwa muda mrefu nimekuwa nakunywa mai pungufu ya robo lita kazi yangu ni ya kisomi nasukuma kalamu na kuongea hivyo situmii sana nguvu za mwili. Sehemu nilipo hakuna joto...
  19. lord commander

    Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  20. K

    Wananchi wa Kijiji cha Nyangunge hawana maji baada ya vituo vya kuchotea kufungwa

    Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa. Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma ya maji safi na salama kutokana na vituo vya kuchotea maji kufungwa zaidi ya miezi miwili Sasa...
Back
Top Bottom