maji

  1. A

    KERO Idara ya Maji Nyegezi Mwanza (MWAUWASA) jitafakarini suala la ukosefu wa maji

    Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake! Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi wanawajibika au la! Nyegezi ni eneo lililoko mjini lakini mnaweza kaa hata takribani wiki tatu bila...
  2. S

    KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  3. Li ngunda ngali

    Lissu jiandae, jamaa maji ya shingo na anataka kukufukuza

    "....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe." "...hivi ninavyozungumza, mwamba hamwamini hata Katibu Mkuu wake akihofu huenda ni timu Tundu." Duru.
  4. JanguKamaJangu

    Afikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mita za Maji - Kinondoni

    Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuiba mita za maji na kuisababishia hasara ya Sh904,277. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa). George amefikishwa...
  5. Lugano Edom

    KERO Ukiwatoa TANESCO, bado Idara ya Maji haieleweki kabisa linapokuja suala la bili zao

    Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
  6. A

    KERO Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa

    Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa Habari, Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo. Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
  7. Torra Siabba

    KERO TARURA irekebishe miundombinu ya Malolo - Tabora, Wananchi tunateseka kwa Mitaa kujaa maji

    Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa kutaabika na wakati mwingine wenzetu kupoteza maisha kila kukicha. Iko hivi, sisi wakazi wa Malolo...
  8. M

    Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
  9. K

    DOKEZO Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
  10. N

    Mpango wa kunywa maji ya kutosha 2025

    MPANGO WA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA MWAKA 2025 Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wana Jf! Tukianza mwaka mpya wa 2025, kipaumbele nambari moja, kipindi chote cha mwaka kiwe afya zetu. Tufanye hivyo kwa kuanzia na unywaji wa maji ya kutosha. Sote tunafahamu faida za maji mwilini, lakini ni vipi hatunywi...
  11. Superbug

    Mwaka 1991 jumuia ya Kigurunyembe ilivyokunywa maji yenye uzo wa mtu aliyekufa

    Tukio la kweli. Miaka ya 1990/89 Kuna mwanachuo alipatwa na celebral malaria ilipanda kichwani. Akaenda kulazwa kwenye zahanati ya chuo. Mbaya ZAIDI nesi wa zamu hakumpa sana kipaumbele basi yule mwanachuo akatoka akaenda kujirusha kwenye Mojawapo ya matanki makubwa ya kuhifadhia MAJI...
  12. G

    Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  13. K

    Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

    Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu. Akimuondoa mhalifu...
  14. Mama Edina

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso

    Waziri wa maji Aweso. Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi. Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
  15. Insidious

    KERO Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawatoi taarifa yeyote; kwako Aweso

    Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
  16. A

    KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
  17. Roving Journalist

    SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  18. Stephano Mgendanyi

    Zaidi ya TZS Bilioni 70 zatengwa Ujenzi wa mradi wa maji Biharamulo

    Kufatia kuwepo kwa kero ya muda mrefu ya maji katika wilaya ya Biharamulo moani Kagera, serikali imetenga Zaidi ya shilingi Bilioni 70 kwaajili ya kuanza ujenzi wa maji kutok ziwa Victoria. Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa wakati alipokuwa akiongea...
  19. Mkalukungone mwamba

    Waziri Aweso amshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi inaendelea na ikikamilika changamoto ya maji itategemewa kubaki historia. Waziri Aweso ameyasema hayo...
  20. U

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie siku njema
Back
Top Bottom