Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera.
Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka sasa leo wiki ya pili siku ya Jumatano sijapata tokeni na BUWASA wapo kimya.
Hali hii imetuathiri...
Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa jimbo la Momba mkoa wa Songwe, awataka wananchi wanapokuja viongozi wa kiserikali wawapatie hayo...
Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
Anonymous
Thread
dawasa
huduma
huduma ya maji
katika
kupata
kutoka
maji
ubungo
vijiji
wiki
Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo.
Ukuaji huu wa kasi umesababisha ongezeko la mahitaji ya ardhi kwa ajili ya makazi na biashara, huku baadhi ya...
Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli?
👉Na hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana yanakaa kwa dakika 6 ndio yanakuwa kwenye normal state ya colorless
👉Lakini kwanini maji yanakuwa machungu?
Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo:
1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea.
Pia nimenunua water boiler ya lita 30, hivyo nachemsha maji, nayachuja na kitambaa kisafi cha nailoni, yakipoa...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Sekta ya Maji kuhakikisha wananchi wa kata ya Mswaha, wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wananufaika vya kutosha na chanzo cha maji cha Mswaha Darajani kilichopo katika kata yao.
Waziri Aweso amesema alipotembelea chanzo cha mradi huo...
UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO
Ijumaa 15 Novemba, 2024.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.
Mpango huu unalenga kushughulikia...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya maji, kusikiliza kero za wananchi, na kutatua changamoto mbalimbali za kihuduma kwa wateja wa...
"TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA"
Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini, Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza watendaji wa sekta ya Maji mkoani Arusha...
Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko.
Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko hawajali afya za wananchi au wawekezaji na watawala wanatuona wananchi kama manyani?
Kuna kesi za...
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya hedhi na mkojo wa ng’ombe kujisafisha.
Wanawake hao hulazimika kutumia siagi hiyo (mafuta ya...
Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa
Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900,
Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.