Kuna Wangu wanajiita ni Wabunge wa Chadema ambao chadema haiwatambui.
Wabunge hao wanaotakiwa kutimuliwa bungeni ni Halima Mdee, Esther Matiko, Grace Tendega, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnes Lambart, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa na Hawa Mwaifunga.
Wengine ni Tunza Malapo, Asia Mohammed...