Habari zenu jamani, Wakubwa zangu Shikamooni, rika langu Mambo, wadogo zangu inakuwaje.
Mi bana naomba kujua na kuuliza tu Humu Jamiiforum hayo majina mnayotumia mlikuwa mnafikilia nini au jina hilo ilikuwaje mpaka ukalitumia humu, kuna wenzangu na mimi waliandika weee wanaambiwa hilo jina lina...