makazi

  1. Suley2019

    Prof. Kabudi aibuka. Aililia tembo kuvamia Mashamba ya Wananchi wa Kilosa

    Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu wananchi hao hawajalipwa kifuta machozi kutokana na uharibifu huo. Pia, ameomba Wizara ya Maliasili...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Aitaka Wizara ya Mambo ya Ndani Kuboresha Makazi ya Polisi na Magereza

    MARTHA FESTO MARIKI AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUBORESHA MAKAZI YA POLISI NA MAGEREZA "Katika Mkoa wa Katavi katika Jeshi la Zimamoto tuna takribani zaidi ya miaka 12 hatuna gari la uhakika la Zimamoto. Mkoa unakua, Serikali imewekeza ikiwepo Bandari. Mkoa unapokea wafanyabiashara wengi...
  3. sky soldier

    Hawa wajasiriamali maarufu chini ya miaka 30 wanapoteleaga wapi kibiashara wakishavuka miaka 30?

    Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30 Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo...
  4. JanguKamaJangu

    UN yasema Watu milioni 1.3 wapoteza makazi Sudan

    Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (UN) limeeleza mapigano ya kuwania madaraka yanayoendelea Nchini hapo yamesababisha Watu zaidi ya milioni moja kuyahama makazi yao na kwenda katika maeneo salama ndani ya Sudan huku wengine 320,000 wakikimbia Nchi jirani za Misri, Sudan Kusini, Chad...
  5. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la sensa ya watu na Makazi

    Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu sana katika kuhakikisha kuwa serikali inapata taarifa sahihi za idadi ya watu na makazi katika nchi. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala la kufikia malengo ya sensa kutokana na ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji. Serikali inahitaji...
  6. Lord denning

    Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

    Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana. Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais...
  7. M

    DSM TO MORO NA MBEYA TO MAKAMBAKO TAZAM ROAD HIVI NI VIPANDE VYA BARABARA VINAVYO UNGANA MAKAZI NA BAADA YA MIAKA MITANO YATAKUA YAMEUNGANA

    Moja ya ya vipande ambayo vinasheeni makazi katika tazam road ni dsm to morogoro km 195na mbeya to makambako km 172 vina fanana ni vipande ambayo baada ya miaka mitano makazi yatakuwa yameungana kutokana na ukuaji wa vimiji vya barabarani
  8. IamBrianLeeSnr

    New York: Mvua ya mfululizo kusababisha mafuriko makubwa huko Bronx

    Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx. Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
  9. Rayvanny wa jamiiForums

    SoC03 Bomoa bomoa ya makazi kilio cha Watanzania

    BOMOA BOMOA YA MAKAZI KILIO CHA WATANZANIA Utangulizi Bomoa bomoa ya makazi imekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania. jambo ambalo limesababisha adhali nyingi sana kwa wananchi na kupelekea wengi wao kukosa makazi kwa kubomolewa makazi yao na kuangukia kwenye umaskini wa kupindukia...
  10. Equation x

    Makazi bora ni yapi?

    Wengi huwa tunajenga makazi yetu ya kuishi kutokana na ukubwa wa vipato vyetu; wapo watakao jenga kwenye eneo la 10x10m, 20x 30m, 40 x 50m n.k Pia, wapo watakaojenga kwenye eneo la ekari 5, 10, 20 n.k Ila kwa mtazamo wangu; mimi naona makazi bora ni kujenga kwenye eneo lenye angalau ekari 10...
  11. ChoiceVariable

    Ushauri Kwa Serikali: Futeni Vijiji Bonde la Ziwa Rukwa halifai kuwa Makazi

    Yaani Hii Nchi hata waliokuwa wanapanga Miji ni wapuuzi sana,Kuna maeneo mengi sana ni hatarishi Kwa maisha ya watu ila yamefanywa kuwa sehemu za makazi. Mfano ni Bonde la Ziwa Rukwa ambako kuna Vijijini vingi sana lakini nature ya eneo ni Eneo oevu na Lina mito Mingi,mashamba ya mpunga nk...
  12. Pantomath

    Masikini na wachafu wanateseka na kuaibika sana wanapohama makazi

    Masikini atateseka km nje ni mtu wa Show-off, Mchafu wewe huna pa kuponea, maana hali ya uchumi haihalalishi uchafu hapo sasa lazima uwe na timing ya giza na majiranii. Maana kwenye kuhama bana! watu sikuhio utaona kama wameongezeka halafu kila yule unahisi anakuangalia. Ukiwa zako ndani...
  13. chizcom

    Usiombe eneo au makazi yako yakagundulika yana dhahabu

    Dhahabu ni mali ngumu kupatikana ila ikigundulika eneo au makazi yako utakoma. Uwezi kumzuia mtu kuchimba, nyumba zitabomolewa, watu wataweka kambi watakavyo,uovu utaongezeka. Kuna dalili naziona bora isitokee kama itakuwa kweli watu wakijua tumekwisha. MPAKA SASA Naomba ni ninyamaze maana...
  14. mrengo wa kushoto

    Kwa waliowahi kupatwa na bomoa bomoa ya makazi tupeni uzoefu

    Habari wa na JF, Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali. Katika changamoto hii tupeane...
  15. BARD AI

    Benki zilizoongoza kwa kutoa mikopo ya Nyumba na Makazi Tanzania 2022

    1. CRDB- Bilioni 193 2. Stanbic- Bilioni 41 3. Azania - Bilioni 36 4. NMB - Bilioni 34 5. NCBA - Bilioni 23 6. TCB - Bilioni 21 7. Exim- Bilioni 20.6 8. 1st Housing*-Bilioni 16.2 9. KCB- 15B 10. DCB- 13.8B THE CHANZO/ BoT
  16. ndege JOHN

    Kuna watu hawana hela wanajenga, kuna watu tuna hela ila hatujengi

    Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari. 2023...
  17. D

    Msaada wa mawazo: Kubadilisha nyumba ya makazi kuwa gesti

    Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
  18. Kyambamasimbi

    Na tuifanye nchi yetu kuwa ya kijani tupande miti kwenye makazi yetu

    Kuna baadhi ya jamii au Kaya huamini kuwa miti Ni Kama adui wa usalama wao lakini kumbe miti Ina faida nyingi kuliko hasara. Jamani tumeona mabadiliko ya Hali ya hewa na tabia ya nchi. Jamani tubadilike tupande miti angalau mti mmoja utakuwa umechangia kutunza Mazingira yetu.
  19. mirindimo

    Kiwanda cha furniture katikati ya makazi kwa Aziz Ally kinawaka moto

    - Raia wamesimama nje bila msaada wakisubiri hatma na huruma ya moto. Kuna haja ya kuondoa hivi viwanda vikubwa kwenye makazi. Kue na point za zimamoto mahali ambapo kuna makazi ya raia ila hizi pointi ziwe na maji pia Tuandae raia kuyakabili majanga kama moto , mafuriko n.k UPDATE Fire...
  20. Mganguzi

    Tanzania watu zaidi ya milioni 40 hawana makazi yao ya kuishi

    Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini? Sera ya nchi ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi salama inaharibiwa na utaratibu mbovu wa watu kumiliki...
Back
Top Bottom