makazi

  1. A

    Serikali na Waziri Nape tupeni ufafanuzi kuhusu kuchangia Anwani za Makazi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
  2. HIMARS

    Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

    Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu Inaripotiwa kuwa...
  3. Rashda Zunde

    Umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi

    Ukweli ni kwamba watu wenye ulemavu wana mahitaji mbalimbali, hivyo kupitia sensa itakuwa sehemu sahihi ya kushughulikiwa changamoto zao, baada ya kukamilika kwa utaratibu huo. Kitendo cha kuwaficha wenye ulemavu hao kutawakosesha haki yao ya msingi katika shughuli za maendeleo zitakazokuwa...
  4. JanguKamaJangu

    Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  5. EINSTEIN112

    Kumbe Urusi ililenga silaha za NATO zilizohifadhiwa karibu na makazi ya watu? Nani alaumiwe hapa

    Kikosi cha Wanaanga cha Urusi kilianzisha shambulizi la anga la "usahihi wa hali ya juu" dhidi ya hifadhi za ndege za Ukraine zilizokuwa na silaha na risasi katika eneo la kati la Poltava siku ya Jumatatu, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema jana (Jumanne). Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Kenani Kihongosi afungua kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani vijana kwa ajili ya kujiandaa na ushiriki wa Sensa

    KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
  7. JanguKamaJangu

    UN: Watu zaidi ya 84,000 wamekimbia makazi yao Sudan

    Umoja wa Mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa Sudan mwezi huu pekee zimewakosesha makazi watu zaidi ya 84,000. Umoja wa mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa Sudan mwezi huu pekee zimewakosesha makazi watu zaidi ya 84,000. Imeongeza kuwa idadi hiyo...
  8. Neyahoo

    Boxabl Casita: Elon Musk aanzisha makazi ya Bei nafuu

    Wakati watu wengine wakipata utajiri wanawaza kuspend as much as they can au asipospend Basi atawekeza zaidi kukuza utajiri wao lakin Elon musk yupo kivingine huyu jamaa Ana vision ya hali ya juu Sana badala ya kuongeza product ambazo zitawanyonya wanyonge ili yeye abaki juu kama wanavyofanya...
  9. JanguKamaJangu

    Watu milioni 89.3 wamekimbia makazi yao Duniani, kwa mujibu wa UNHCR

    Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) za mwaka 2021 ambazo pia zinatumuka mpaka sasa zinaonesha kuna idadi ya watu milioni 89.3 ambao wamekimbia makazi yao, kati yao watu milioni 27.1 ni wakimbizi, pia nusu ya hao Wakimbizi wana umri chini ya miaka 18. Watu...
  10. kavulata

    Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

    Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na mitaa ina majina yake maalumu ambayo kama ukiyataja kila mtu atajua ni la mkoa na wilaya gani...
  11. JanguKamaJangu

    Watu 10,000 wakimbia makazi yao kisa machafuko Nchini Msumbiji

    Watu 7 wameuawa katika machafuko ambayo inaelezwa yanahusisha Wanamgambo katika eneo la Kaskazini mwa Msumbiji. Umoja wa Mataifa (UN) umesema watu 10,000 wamekimbia. Machafuko hayo yametokea eneo la Cabo Delgado lenye gesi ambako Wanamgambo hao walianzisha uasi tangu mwaka wa 2017 na tangu...
  12. BigTall

    Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  13. L

    Wahisani Wachina watoa matumaini kwa vijana wanafunzi kwenye makazi ya mabanda nchini Kenya

    Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi. Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
  14. astalavista

    Vibao vya Makazi vingekuwa aina moja nchini, Masasi DC ni aibu nyingine

    Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc. Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
  15. Zogolo1550

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  16. L

    Anwani za makazi: Nape anaupiga mwingi

    Haya ndo matokeo ya ziara ya Nape kwa kutumia chopa kukagua zoezi la anwani za makazi
  17. Thailand

    Uboreshaji wa makazi bora Mijini na Vijijini

    Kabla sijafika miji mikongwe kama Bagamoyo nilijua ni miji ya kuvutia kwa makazi yaliyoboreshwa kumbe nilikuwa najidaganya. Tuongelee mji wa Bagamoyo na makazi yake, yaani wingi wa nyumba za udongo na kuridhika kwa wakazi wazawa wa hapo kwenye huo mji. Mji wa Bagamoyo una jina kubwa lakini...
  18. Analogia Malenga

    Anuani za makazi zilibajetiwa kutumia Bilioni 740 zimeshushwa hadi Bilioni 28

    Mkuu wa Idara ya Habari maelezo amesema zoezi la Anuani za makazi zilipangwa kutumia Tsh. Bilioni 740 lakini Rais Samia aliishusha hadi Tsh. Bilioni 28. Kutokana na bajeti wananchi wametakiwa kuchangia baadhi ya huduma ikiwemo huduma ya kuwekewa vibao ambapo tafiti zimeonesha wananchi wanalipia...
  19. JanguKamaJangu

    Kilimanjaro: Wanawake wakimbia makazi yao kukwepa wabakaji

    Baadhi ya Wanawake wa Kijiji cha Shirimatunda, Kata ya Mnadani, Wilaya ya Hai wamekazimika kukimbia makazi yao kutokana na kuibuka kwa wimbi la Wanaume wanaofanya vitendo vya ubakaji. Matukio hayo yanadaiwa kutokea katika maeneo ya mtoni wakati Wanawake wakifuata maji, ambapo wanaofanya tukio...
  20. polokwane

    Waziri Nape, mmeamua walimu na wanafunzi wafanye kazi ya anuani za makazi bure baada ya halmashauri kutafuna pesa za kuwalipa waliofanya kazi?

    Hebu soma maagizo hayo hapo chini Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu. Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho. Ushauri wangu...
Back
Top Bottom