NBS wanawachezea akili Watanzania kwa kutumia uelewa wao mdogo katika mambo ya Technology na Haki za Watumiaji wa Mifumo mbali mbali ya huduma. NBS wamefanya uhuni kwa kutozingatia vigezo vya Human Machine Interaction (Usability and User Experience (UX)) katika mfumo wao wa kuomba ajira za muda...
Wakuu,
Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili?
Utaratibu wa kuwa na anwani za makazi ni jambo jema sana; Napongeza sana Serikali yangu
hata hivyo ninamapendekezo yafuatayo;
1. napendekeza kuwe na nyongeza ya kuelekezwa namna ya kuandika anwani baada ya kupata namba kwenye Nyumba;
Mf: utakuta nyumba imeandikwa #46 sinahakika nikisema Naishi...
Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena?
Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
Majaliwa ameyasema leo Ijumaa Mei 6, 2022 wakati akizindua mradi wa Afya yangu unaofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID).
Amesema kazi ya maandalizi ya sensa ya watu na makazi inaendelea nchini ambayo inaenda sambamba na anwani za makazi.
Majaliwa amewataka...
Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje?
Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili 😂😂😂😂
Hii ndio nini sasa👇
Naibu Waziri: Msaidieni Rais Samia Utekelezaji Anwani za Makazi
Immaculate Makilika – MAELEZO, Songwe
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi, Kundo Mathew amewaomba Wakuu wa Mikoa yote nchini kuendelea kutekeleza zoezi la Anwani za Makazi katika mikoa...
WIZARA YAENDELEA KUIFIKIA MIKOA ISIYOFANYA VIZURI ANWANI ZA MAKAZI
Mkoa Wa Singida Wapewa Siku Nane Kujinasua Kabla Ya Uhakiki
SINGIDA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ametoa siku nane kuanzia tarehe 27/4/2022 hadi tarehe...
Uswizi inatazamiwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na jengo refu zaidi la makazi litakalojengwa kwa mbao.
Mradi huo uliopewa jina la Rocket & Tigerli, utajumuisha majengo manne likiwemo moja litakalokuwa na mnara wa urefu wa mita 100 (futi 328).
Ujenzi wa jengo hilo unatazamiwa...
Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.
Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana?
Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi.
Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa...
Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi?
Walimu 250 kutoka Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wameandamana hadi ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza kudai posho zao za kazi ya kuweka alama za anwani za makazi waliyoifanya kwa siku tano.
Watumishi hao waliandamana jioni ya Aprili 8, 2022 ambapo malipo hayo ni Sh 100,000 kwa siku tano...
Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
Nakumbuka mwezi mei mwaka 2020 , Wizara ya Ardhi iliweka tangazo kwenye tovuti yake walitangaza watumishi wa umma wanaotaka mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kufanya maombi na fomu ziliwekwa, watu tulijitokeza na kuingia gharama kubwa katika kukamilisha masharti, miongoni mwa masharti ilikuwa...
Nimepigiwa simu na Baba Mzazi kutoka huko Moshi Kilimanjaro na kunieleza ya kwamba kuna hatari kubwa ya kuwepo kwa anwani hewa zitakazotokana na zoezi hili la urasimishaji wa anwani za makazi kama ifuatavyo:-
Kwamba, wahusika wanasajili makazi kwa maana ya "nyumba" ambapo Msingi unatafsiriwa...
Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa.
Mbinu wanayo ipigia mkakati ni
(1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao...
Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi.
Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika?
Mfano unakuta...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Sunday Deogratias ametoa onyo kwa watu watakao onekana kung'oa vibao vya anuani ya makazi na kwenda kuuza kama vyuma chakavu na kwa watakaobainikia watachukuliwa hatua za kisheria.
Hayo ameyasema alipokuwa katika hafla ya siku ya wanawake wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.