malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    SoC03 Kuwajibika kwa serikali katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu

    KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameanzisha dira mpya ya kufikia ustawi wa kijamii na maendeleo...
  2. M

    SoC03 Kuongeza Uwajibikaji na Uongozi Bora: Mabadiliko ya Hatua kwa Hatua

    Utangulizi: Katika sekta yoyote, uwajibikaji na uongozi bora ni mambo muhimu katika kuhakikisha ufanisi na mafanikio ya shirika. Kuchochea mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni jambo la msingi katika kuboresha utendaji na kukua kwa kampuni. Katika andiko hili, tutachunguza hatua...
  3. Wanaomwamini Freeman Mbowe na Chadema yake, watafika wamechoka sanaa! Huyu ana malengo tofauti na anachokihubiri

    La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye! Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
  4. Waziri Mhagama: Kampeni ya Kili Challenge 2023 kuchochea malengo ya kuzifikia sifuri tatu

    Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024 zimetengwa fedha nyingi zaidi kuhakikisha kila Wizara na Taasisi ya Umma zinawezeshwa katika mapambano hayo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
  5. Tunamshukuru Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa kwa kuongelea ‘malengo’ ya ubinafsishaji wa bandari za Tanzania

    I. Utangulizi Tumefurahi kumsikia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, akiongelea uzuri wa malengo ya uwekezaji katika Bandari za Tanzania. Lakini Mhe. Bashungwa anapinga mtazamo kwamba mkataba wa Tanzania na Dubai unaongelea ubianafsishaji wa bandari. Mara ya...
  6. A

    DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
  7. SoC03 Ndoto za Mtoto: Jinsi Jamii na Viongozi Walivyomsaidia Mtoto Kufikia Malengo Yake

    NDOTO ZA MTOTO: JINSI JAMII NA VIONGOZI WALIVYOMSAIDIA MTOTO KUFIKIA MALENGO YAKE Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Ndoto ni malengo ya mtu katika maisha. Watoto wana ndoto mbalimbali, lakini si wote wanafikia ndoto zao kutokana na shida kama umaskini, ujinga, magonjwa, ukatili, ubaguzi...
  8. SoC03 Tumaini letu katika afya

    Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika katika ngazi tofauti kwa namna bora na kiyapekee. Miongoni mwa huduma muhimu zenye uhitaji...
  9. P

    Mambo matatu muhimu unapoamua kuanza na jambo kubwa kwa maombi

    1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu. Mwanzo 18:14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? 2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
  10. I

    SoC03 Afya inavyoweza kusaidia taifa kufika katika malengo

    Afya ni muhimu sana katika kuimarisha jamii. Jamii yenye afya bora ina uwezo wa kufanya kazi vizuri na kuendeleza uchumi wake. Afya pia ina athari kubwa kwa maisha ya kila siku ya watu binafsi, ikiwa ni pamoja na uwezo wao wa kufanya kazi, kujifunza na kufurahia maisha. Jamii yenye afya pia ina...
  11. Wafuasi wa International Globalists Elites na malengo yao ya kimataifa

    Kuna kundi kubwa sana la viongozi ambao hawaja chaguliwa kuwawakilisha watu. Kundi hilo wapo wanawake kwa wanaume. Wanajiita illuminati. Kundi hili wanazungukia kila Nchi dunia nzima na kuteka rasilimali. Kundi hili linashambulia wanadamu kwa kisingizio cha mabadiliko ya tabia ya nchi au...
  12. D

    Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

    Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata. Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa...
  13. J

    Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  14. Malengo ya Elimu ya Tanzania ni mawili, 1. Tunasoma ili tufaulu mitihani, 2. Tunasoma ili tuajiriwe. Njoo ubishe kwa hoja

    Habari! Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa . Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
  15. Huwezi kufikia Malengo bila kuwa na Lengo

    Lengo ni msingi muhimu katika kufikia malengo yetu. Bila lengo, ni vigumu sana kuamua hatua za kuchukua na njia ya kufuata ili kufikia mafanikio. Lengo linatupa mwelekeo na jinsi ya kushirikisha nguvu na rasilimali zetu kwa njia inayolingana na matakwa yetu. Wakati wa kuweka malengo, ni muhimu...
  16. Wafanyazi wa Serikali waweke shabaha ya malengo katika kazi zao

    Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi...
  17. Mbunge Stanslaus Nyongo Asema MSD Iwezeshwe Mtaji Ili Ifikie Malengo

    MBUNGE STANSLAUS NYONGO ASEMA MSD IWEZESHWE KIMTAJI ILI IFIKIE MALENGO NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo tarehe 12 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy...
  18. Wasiopenda udhibiti wa uandishi wa habari wana malengo ya kisiasa au kibiashara?

    Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini. Waandishi wakizungumzia kazi yao utafikiri ndio inaleta maendeleo nchini kumbe wengi ni ajira na wengi...
  19. Malengo 2024:mradi wa ufugaji nguruwe na mbuzi wa nyama

    Habari wapambanaji? Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience pia ushauri,nina ekari mbili nataka 1½ nilime mahindi,alizeti na maboga at least gharama za ulishaji...
  20. Fanya malengo yako yawe ya kwanza sio mwanamke

    Ratiba zako, pesa zako na mawazo yako mengi yaelekee kwenye malengo. Alafu utengeneze muda kwa ajili ya mwanamke na familia pia. Na sio kinyume. Yaani ukaanza na mwanamke alafu ndo ufate malengo yako, hapana. Achana na wazo mwanamke ndo kila kitu kwako. Achana na wazo mwanamke ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…