malipo

  1. B

    Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  2. Kwanini nchi yetu hairuhusu watu kulipwa kwa Paypal? Kuna sababu gani ya msingi?

    Wandugu kwanini Tanzania hawaruhusu watu kupokea malipo kwa Paypal, njia rahisi kabisa? Siku hizi kuna kazi nyingi sana mtu unaweza kufanya mtandaoni. Ni wewe tu na bando lako na simu yako au Kompyuta yao. Unaweza kufanya kazi ipo US au kokote duniani. Na njia rahisi ya malipo ni kupitia...
  3. B

    Hazina na Serikali Mtandao chunguzeni ufanisi wa malipo ya serikali kupitia control number, huenda tunapigwa kama Rais Samia alivyowahi kutahadharisha

    Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi. Juzi Kati Tanesco walipata matatizo kwenye mfumo wa LUKU nakupelekea kukosekana kwa huduma hii. Niliwaza sana kuhusu udukuzi wa kimtandao...
  4. W

    Waziri wa Fedha, Katibu Mkuu na Wakuu wa Idara na Vitengo waliohusika katika malipo wawajibike

    Waziri Mkuu aliiibua matumizi mabaya ya fedha za Umma katika Wizara ya fedha. Kiasi cha shilingi Bilioni 2 na ushee, zililipwa ndani ya watumishi wa Wizara husika isivyo halali. Waziri aliagiza Mkurungezi wa TAKUKURU kuchunguza, na aliwataja watumishi 9 kusimamishwa kazi wakisubiri uchunguzi wa...
  5. Wadau walalamikia uduni wa risiti zinazotolewa kwa waliopima Corona JNIA , yadaiwa hakuna control number , malipo ni cash

    Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa . Mungu ibariki Tanzania .
  6. N

    Naomba msaada wa kupata Waraka wa utumishi wa umma no 2, wa mwaka 2018, unaokataza malipo ya uhamisho

    Wadau ambaye ana waraka huo naomba ashee na sisi hapa jukwaani au kama haupo ulishafutwa tunaomba basi huo waraka ambao umefutwa maana nimeona barua mtumishi kajibiwa hastahili kulipwa uhamisho wake kutokana na maelekezo ya huo waraka
  7. D

    Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
  8. B

    Wanahisa wa Akiba Commercial Bank hatujalipwa baada ya kuwauzia National Bank of Malawi

    Akiba Commercial Bank iliwauzia Mwaka jana National Bank of Malawi 75% ya hisa zake na hiyo transaction ilipata Baraka zote za BOT. Kitu cha kushangaza ni jinsi wanahisa waliouza hisa zao wanavyopigwa danadana kulipwa fedha zao toka wakati huo zoezi hilo lilipokamilika. Sasa sijui tatizo...
  9. TBC waweke hadharani Risiti ya Malipo waliyolipwa kwa kuonesha moja kwa moja Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma

    Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM. Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
  10. Kwa TRA Tabora: Nililipa SDL mtandaoni lakini kwa sasa inaniambia payments of tax overdue

    Ninahitaji ushauri, Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi. Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa...
  11. U

    Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

    Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini. Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
  12. Je,Unatafuta mtu wa masoko kwa malipo ya commission?

    Habari wakuu, Bila kupoteza muda, Nawasilisha ombi langu la ridhaa ya kutafuta masoko na kuuza bidhaa yoyote halali kama vile ardhi,magari, au bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni,taasisi au maduka binafsi kwa makubaliano maalum ya malipo kwa commission ya asilimia kadhaa kadri...
  13. Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Habari za leo wadau, Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo: Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10. Mimi sio mtu wa biashara na pia...
  14. Mwendazake alitumia muda mwingi kuwatukana wengine, sasa ni malipo yake

    Heshima yenu wakuu Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake. Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai. Wapo wanaomponda mwendazake na wapo wanaomsifia. Jambo moja la kuweka kichwani ni kuwa mwendazake alipokuwa hai wasifiaji na...
  15. Sarafu za malipo ya ngono enzi za Utawala wa Warumi

    Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie ya SPartacus. Because they show exactly what they were ment for - to pay a prostitute. Those coins...
  16. M

    Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

    Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15% Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
  17. Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China)...
  18. Clouds yatoa ufafanuzi malipo ya TSh milioni 629 yaliyotajwa na CAG

    Meneja wa fedha wa kampuni ya Clouds Media Group, Issa Masoud amesema walitoa vielelezo vyote ikiwa ni pamoja na stakabadhi kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia malipo ya Sh 629.7 milioni kwa ajili ya matangazo ya tamasha la urithi mwaka 2018. Masoud ametoa ufafanuzi huo leo Alhamisi...
  19. Kuhusu malipo kwa walimu wastaafu

    Kwema wakuu? Mwenye ufahamu kuhusu malipo ya walimu wastaafu yanavyofanyika naomba anipe ujuzi, je hela wanaingiza yote au wanaingiza kidogo kidogo au wanaipiga pini hadi muda fulani upite. Maana beki hazikabi uchumi umekaa tenge nataka nirudishe mpira kwa kipa kwa mtu fulani nasikia mpunga...
  20. Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

    Ujumbe naowapa ndugu zangu mchana wa leo ni kwamba tutende wema. Usimuumize mwenzio. Malipo ni hapahapa duniani. Mtag ndugu yako mwambie malipo ni hapa hapa duniani. Kuna watu leo hii wanateseka wanatamani wafumbue macho waombe msamaha lakini wapi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…