malkia

Malkia (Hebrew: מלכיה) is a kibbutz in northern Israel. Located near the Lebanese border and Kiryat Shmona, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2024 it had a population of 500.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Malkia wa Thailand kaendesha Fighter Jet Saab JAS 39C Gripen peke yake. Kwahiyo ndio Malkia wa Kwanza Duniani kuendesha Fighter Jet.

    Queen Suthida, na miaka yake 48, kawa first female mornach kuendesha fighter jet peke yake. Kwenye moja ya air base nchini Thailand, Malkia kaendesha peke yake Single-seat JAS 39C Gripen kwa muda wa dakika 41. Maza ana CV nzuri tu ya kuendesha ata kabla hajawa Queen. Amewahi kua pilot tokea...
  2. T

    JamiiForums Tanzania OCTOBER: Mwezi wa malkia wa rozari takatifu

    Tumsifu yesu kristu. Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa mkombozi na mwombezi wetu. Ingawa rozari husaliwa na wakristo kila siku ila kanisa liliona ni vyema...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nilala Nikaota Malkia Huihui Kapinduliwa Ugagagigikoko, Kuamka Kumbe Ndoto!

    Jioni ya jana nilitumia muda mwingi kusoma mapinduzi makubwa yaliyotokea katika nchi nyingi duniani. Nikaanza na ya Urusi pale wananchi walipoitoa madarakani serikali ya mabwanyenye na kumuweka Vladimir Lenin madarakani ya mwaka 1917, baadaye nikahamia mapinduzi makubwa ya Iran ya mwaka 1979...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya safari ya nchi ya kufikirika (ugagagigikoko) inayoongozwa na malkia huihui

    ⚠️ ANGALIZO LA MWANDISHI (DISCLAIMER) Makala hii ni kazi ya sanaa ya kubuni (Fiction Story/Creative Writing). Mtunzi amebuni majina ya wahusika, matukio, na maeneo (ikiwemo nchi ya kufikirika ya Ugagagigikoko na mtawala Malkia Huihui) akivuta kumbukumbu zake za utotoni wakati akisoma vitabu vya...
  5. JamiiForums Tanzania Huwezi kujiunga na familia ya Malkia wa Sheba kwa kujichekesha chekesha na kujikosha. Hesabu zako za 2030 zimeshafeli

    Hamjambo! Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi. Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale vijana wenye ndoto kubwa za kuwa Namba moja, sio my number one ya Diamond. Hapana, Nazungumzia Jokery...
  6. JamiiForums Tanzania Shida ya mtu kuwa na madaraka makubwa kama malkia

    Wateule wanakuwa na hofu,unafiki muda wote ike this bastard
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…