mambo matano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni Mambo Matano Yatakayo Tokea Usipo File Annual Returns

    Habari Mjasiriamali, karibu kwenye Episode 1 ya "Business Compliance series" Na Leo tunaongelea Compliance ya kwanza "Annual Returns" Hii ni application ambayo hufanywa na Kampuni kila mwaka katika maadhimisho au birthday ya Kampuni. Wamiliki Wa Kampuni, directors, wakili au secretary Wana...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo matano yanayoweza kukufanya usistahili kuwemo katika ndoa

    Ndoa itakushinda Iwapo... 1. Ikiwa tendo la ndoa halina maana kwako.. Ipo hivi... Katika ndoa, tendo la ndoa si la hiari - ni la msingi. Ikiwa hutaki kuduu, tafuta usaidizi kutoka kwa marafiki na jamaa, na fikiria kuasili watoto ila isiingie katika ndoa. . 2. Ikiwa unataka kutenganisha...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo matano ya chama tawala ambayo msajili wa vyama vya siasa ameamua kufungia macho

    1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi. 2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa. 3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda. 4. Takrima ya ugawaji vitu kama...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo tano ya kujiuliza kabla ya kuchukua fomu ya kugombea cheo cha kisiasa

    Ikiwa kweli una utimamu wa akili, madaraka ya kisiasa siyo jambo la kukimbilia kama hauna dhamira ya dhati ya kutumikia jamii yako. Uongozi ni kuacha alama, kuwaongoza watu waweze kufikia mafanikio wanayoyatamani ya kiuchumi na kijamii KIongozi atadaiwa mengi na atapimwa kwa mengi, hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…