Kwema Wakuu!
Logically, Ikiwa Rais hashtakiwi hiyo itamaanisha Hafuati na hayupo chini ya Sheria.
Ikiwa mtu hayupo chini ya Sheria hiyo itamaanisha hatokani na Sheria.
Hii ni kusema, ikiwa watu watamchagua mtu awe Rais au kiongozi ambaye hatashtakiwa kwa Sheria itamaanisha hawakufuata Sheria...