maneno

Maneno was a blogging application powered by PHP, Smarty, and MySQL with content management capabilities. Initially released in October, 2008, it focused on creating a multi-theme, multi-author, multi-lingual system that works in a hosted setting [1]. The name Maneno means 'words' in Swahili and the site focused on having low latency/filesize options to make it fast to load on low bandwidth connections [2]. Additionally, it had an architecture that allowed for heavy customization by end users.
The core of the system was envisioned after a trip to the Democratic Republic of Congo in 2008 by two of the founders. They realized that while trying to write articles from the country via VSAT connections, the connection speeds proved incredibly slow and discouraging for not only them, but anyone striving to pursue citizen journalism endeavors [3]. Additionally it was shown that the language spheres of Africa had nearly no crossover between one another. Taking these issues into account and coming to the conclusion that no current blogging system adequately addressed them, this entirely new platform for blogging was created to serve the African blogging community.
Maneno was available in Bambara, English, Spanish, French, Fula, Swahili, Lingala, Portuguese, and Zulu. The available languages covered all of the lingua franca languages of Africa as well as a selection of large local African languages that were gradually added to. The site worked in allowing a user to be able to view and interact with the site in any one of the languages available for the interface as well as being able to translate articles and sections of the site via a crowdsourcing method [4].
In August 2010, Maneno announced that would be scaling back their extensive social media outreach initiatives to focus on developing the core technology of the site [5] and as of 2014, the site is now inactive.
The Board of Directors were a group of bloggers and technology enthusiasts working to expand the platform and reach out to new bloggers. Members were: Rebecca Wanjiku [6], Elia Varela Serra, Saul Wainright, and Miquel Hudin.

View More On Wikipedia.org
  1. Ticha wako alikuwa anasumbuka kutamka maneno gani?

    https://youtube.com/shorts/m3V0DrNdKns?si=zE3dCx52pGD7Dx3A
  2. K

    "Heri wao walioushuhudia uongozi wa Rais Samia", yatakuwa maneno ya vizazi vyetu 50-100 ijayo

    Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia. Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
  3. Maneno na majina ya Kiswahili yenye herufi zinazofanana

    Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia NAOMI----MAONI AMINA----AMANI Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
  4. Maneno ya mwisho kuhusu maisha ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56

    Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 “Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana. Mwishowe, utajiri ni ukweli tu...
  5. Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    ,
  6. Kwa maneno haya ya Nahodha wa Asas FC kuna haja ya kupoteza muda Kesho kutizama wakicheza na Yanga SC?

    "Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au tutafungwa" amesema Nahodha wa Asas FC kutoka nchini Djibouti inayocheza na Yanga SC Kesho ( Jumapili )...
  7. D

    Kesi ya kupinga uwekezaji wa DP; Mahakama sasa ithibitishe yale maneno ya Rostam yalikuwa ya ukweli au uongo!

    Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo! Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza! Pamoja na Rostam kuombwa...
  8. Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo. Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
  9. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

    Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes! I love you, na mabusu tele, mwaaaah! Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu? Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa...
  10. Maneno yapi sahihi hapa?

    Onyesha,onesha,vyema,vema
  11. Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  12. "zilipotokea na zinapokwenda" pana utofauti ?

    Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
  13. Maneno "Enzi za Mwalimu" yanatakiwa kutumika panapostahili

    Baadhi ya watu wanaotumia hayo maneno huwa wameishiwa hoja, au wana nia zao za kibinafsi. Kiufupi watu hawa hupenyeza vioja vyao kwenye legacy ya mwalimu Nyerere ili wapate ili ionekane kwamba wanaenenda kama Nyerere hivyo jamii isiwahofie. Mfano ili kufuta legacy ya mwendazake, "Mradi huu...
  14. Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

    Wasalaam wana zengwe Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi. Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World. Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza...
  15. Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
  16. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  17. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
  18. Maneno yanayoishi

  19. Wanatamani kusema Azam ni dhaifu lakini wakikumbuka wamekandwa nayo wanatunza akiba ya maneno

    Comments ziwe fupifupi.
  20. Maneno ya kitabu "Confessions of an economic hitman" yametimia nchini mwetu.

    "Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi iliyotukumba. Tunachekelea kuambiwa tunakopesheka na kuwa deni linahimilika. Yametufika. Ipo siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…