MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA
Anaandika, Robert Heriel.
Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...