Habarini ndugu zangu,mimi ni kijana umri wa miaka 23 mkazi wa Dar es salaam -Temeke,ni mwaminifu,mchapakazi nachukua nafasi hii kuomba kuwa msaidizi wako katika shughuli zako mbalimbali za kila siku ambazo kutokana na ubize ulionao inakuwia vigumu kuzifanya.
Nipo tayari muda wowote...