Mungu wangu naomba usiku huu ukawe usiku uliobeba jawabu hitaji langu na ukawe mwanzo wa maisha ya furaha na tabasamu kwangu
Bwana njia zako hazichunguziki za kuwajibu waja wako, wakati mwingine huwajia katika ndoto na kuwapa taswira za kesho zao njema kwa kuwapa taswira ulimwengu wa ndoto...