Serikali ya Kijeshi nchini Sudan imewafuta kazi mabalozi wake sita katika nchi za Marekani, Uchina, Qatar, Ufaransa, pamoja na Umoja wa Ulaya baada ya kutokubaliana na jeshi kutwaa mamlaka. Mamlaka hiyo pia imemfuta kazi mkuu wa ujumbe wa nchi hiyo katika mji wa Geneva, Uswizi.
======
General...