Jiji kuu la Ivory Coast, Abidjan limetangaza kupiga marufuku ombaomba ili kupambana na "fujo za mijini".
"Ili kupambana na fujo za mijini, biashara za kutembea kwenye barabara kuu, kuombaomba kwa namna zote, na matumizi ya mikokoteni sasa yamepigwa marufuku rasmi katika wilaya nzima," alisema...