πππ Salaam jukwaa la MMU,
Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki?
Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti.
Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo...