SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Maskini huwa hapangi nyumba uongo utapeli tuCelebrity Mwijaku ametoa zawadi ya kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Ni jambo zuri kutangaza ili na wengine waige mfano huoVitu vingine huwa sioni haja ya kuvitangaza tangaza kama ni kweli umewiwa kufanya hivyo, funga mdomo go ahead ila hivyo ni sawa kufanya jambo Kisha kutaka kututambia. Huo nao ni aina ya ushamba vile vile.
Kama kwa ajili ya sadaka kwangu hapana, ila kama kujitangaza na kutafuta sifa sawa ni jambo zuri.Ni jambo zuri kutangaza ili na wengine waige mfano huo
Jambo Iinalofanyika Kwa jamii haiwezekani likawafurahisha watu woteKama kwa ajili ya sadaka kwangu hapana, ila kama kujitangaza na kutafuta sifa sawa ni jambo zuri.
Wewe ndo unapokea hizo sadaka? Punguzeni shoboKama kwa ajili ya sadaka kwangu hapana, ila kama kujitangaza na kutafuta sifa sawa ni jambo zuri.
Sijui kwanini umewaza hilo ila watanzania somo la kujipendekeza linazidi kuwaathiri kila uchwao inasikitisha sana.Wewe ndo unapokea hizo sadaka? Punguzeni shobo
Kuna mda unaweza jifikilia iv uyu Alie leta hii thread ana akili kwelKodi ya Chumba cha bei rahisi Kwa kule Mbagala inaweza kuwa shilingi 30,000
Kwa miezi 12 ni 30,000x12=360,000
Kwa idadi ya watu 1,000 anaotaka kuwalipia Kodi
1,000x360,000=360,000,0000
Jumla ni shilingi 360,000,000(Tamka milioni mia tatu na sitini)
Mshahara wa Mwijaku hapo anapofanyia kazi ni shilingi 3,000,000 kabla ya makato
Ambapo ukizidisha Kwa miezi 12 ni sawa na shilingi 36,000,000 (Tamka milioni thelathini na sita tu)
Taarifa nyingine vyema ziwe zinaishia huko huko Instagram na Facebook tu
Yaani anahisi wote humu hatujaenda ShuleKuna mda unaweza jifikilia iv uyu Alie leta hii thread ana akili kwel
Inashangaza sana mkuuYaani anahisi wote humu hatujaenda Shule
Huyo Mwijaku mwenyewe Kila Siku anatamani kupata UDC ambao mshahara wake wenyewe haujafika milioni 4.5 Kwa Mwezi
Ndiyo aje atoa shilingi milioni 360 kuwalipia Wananchi Kodi za pango 🙌
Anahamasisha ili na wewe ukumbuke kufanya hivyo mkuu.Vitu vingine huwa sioni haja ya kuvitangaza tangaza kama ni kweli umewiwa kufanya hivyo, funga mdomo go ahead ila hivyo ni sawa kufanya jambo Kisha kutaka kututambia. Huo nao ni aina ya ushamba vile vile.
NImeingia ili nitoe maoni, ulichoandika ndicho nilichotaka kuandika, maana mpaka unaamua kupanga nyumba ya mtu, unajua pa kuitoa hela ya kodi.Maskini huwa hapangi nyumba uongo utapeli tu
Sma wasanii hawamaanishi bali wanataka jina litambe.Ni jambo zuri kutangaza ili na wengine waige mfano huo
Yaaaah maskini wote wamejenga kwa kuthibitisha ilo nenda vijijini uone wale wanaopewa hela za tasaf wana mijengo yaoMaskini huwa hapangi nyumba uongo utapeli tu
Kwani angewalipia kimyakimya angetokwa malengelenge kwenye mashavu yake manene?Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Kabisa Mkuu, hata hivyo atakuwa amejifunza wakati mwingine kuleta habari zitakazokuwa na uhalisiaInashangaza sana mkuu
Mwijaku ni mshamba kama mshamba mwingine anayejiita mtoto mdogo mwenye pesa nyingi, ukimuona yeye umeona pesaVitu vingine huwa sioni haja ya kuvitangaza tangaza kama ni kweli umewiwa kufanya hivyo, funga mdomo go ahead ila hivyo ni sawa kufanya jambo Kisha kutaka kututambia. Huo nao ni aina ya ushamba vile vile.
Ila siyo kila jumba ina hadhi ya kuitwa jengo.Yaaaah maskini wote wamejenga kwa kuthibitisha ilo nenda vijijini uone wale wanaopewa hela za tasaf wana mijengo yao.