SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
- #21
Hongera Mwijaku
Hawa wasanii usiwaamini hata siku moja. Kila wanachofanya ni usanii.Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Nabii Issa Bin Mariam alipoulizwa kuhusu sadaka akasema unapotoa sadaka na mkono wako wakulia basi hata mkono wako wa kushoto haupaswi kujua kama umetoaCelebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Mtu aliyepanga nyumba sio maskini.Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Ndio Naona andiko lako leo, wameahindwa kujua ulikuwa u a Nia gani, you fool all but not me, it’s 20 today.Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12.
Apambanee na vimada wake watoto chuo...asitutoe relini kwa ujinga wake......Kodi ya Chumba cha bei rahisi Kwa kule Mbagala inaweza kuwa shilingi 30,000
Kwa miezi 12 ni 30,000x12=360,000
Kwa idadi ya watu 1,000 anaotaka kuwalipia Kodi
1,000x360,000=360,000,0000
Jumla ni shilingi 360,000,000(Tamka milioni mia tatu na sitini)
Mshahara wa Mwijaku hapo anapofanyia kazi ni shilingi 3,000,000 kabla ya makato
Ambapo ukizidisha Kwa miezi 12 ni sawa na shilingi 36,000,000 (Tamka milioni thelathini na sita tu)
Taarifa nyingine vyema ziwe zinaishia huko huko Instagram na Facebook tu
Nahisi alikuwa anatafuta Kiki tu, Hana huo uwezoApambanee na vimada wake watoto chuo...asitutoe relini kwa ujinga wake......