Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam kueleza mikakati ya wizara yake ambayo ikiwemo utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2022/23 iliyopitishwa bungeni amesema Serikali imetenga shilingi Bilioni 3 kwa mwaka huu...