Fumba macho kwa dakika 10 hapo ulipo, kisha tafakari yafuatayo:-
Ni nani atakuwa na wewe, bega kwa bega ukiwa gerezani?
Ni nani atakuwa na wewe, ukiwa kwenye ugonjwa mahututi?
Ni nani atakuwa na wewe, pale utakapopata ulemavu?
Ni nani atakuwa na wewe, pale familia itakapofariki?
Ni nani atakuwa...