Ndugu,
Hatimae nimefanikiwa kumiliki simu niliyokuwa ninaiota kwa muda, Mi 11 Lite 5G. Ndiyo ninayotumia kutype hapa. Sijaona changamoto zozote za kiutendaji kazi, ipo bomba balaa hasa spidi. Yenyewe ni ile ya RAM 6/128GB storage.
1. Ilibidi nimuagize mtu aliyekuwa anarudi nyumbani kutoka...