Habari za weekend wakuu.
Swali langu ni kama heading isemavyo.
Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough.
mfano wa maswali.
1. What do you understand by the term security as applied in Information Technology (IT)?
2...
Habari za jioni mjamvi?
Habari za leo waungwana?
Siku ya tarehe 20 julai 2024, Tamisemi kupitia Utumishi walitangaza ajira za ualimu kwa ngazi za astashahada, stashahada, shahada na "postgraduate" zaidi ya 11,000. Sasa zoezi la kutuma maombi likiwa linaendelea, napenda kujua ni maswali gani...
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa anayejua anisaidie.
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale.
Baadae...
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
Takwimu zimeonyesha iringa imeongezeka kwa kiasi ukatili wa kinsia.
Ni sabubu gani zinohisiwa kuchochochea ukatili wa kijinsi?
Nini kufanyike ili kupunguza ama kutokomeza ukatili wa kijinisia?
Maoni ilikupunguza ukatili wa kijinsia?
Maroun Tchakei ni mahali pake kabisa kukipiga Simba msimu ujao, jamaa anajua kupiga krosi, anajua kumiliki mpira, ana nguvu, anapiga kona hatari mno na anajua kusambaza pasi za upendo, nikionaga Ihefu wanacheza huwa kazi yangu ni kumcheki Tchakei tu roho yangu inaburudika sana, huwa najiuliza...
Mimi ni nina maswali kadhaa kuhusu hizi imani zetu hizi, naomba kwa wenye uelewa wanijibu 🙂,
1.Tunaamini Mungu anajua kila kitu , mambo yaliopita, ya sasa, na yajayo sio?, ok ivi ni kwanini wakati wa uumbaji wake aliamua kumuumba lusifa ambaye baade aligeuka kuwa shetani, je hakujua kuwa hiki...
Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
Wana JF Jukwaa la Historia,
Nimekuwa nikifanya majadiliano hapa sasa huu ni mwaka wa 11.
Nimegundua kuwa kuna wafuatiliaji wengi wa mijadala hii yetu ambayo wanauliza maswali ambayo kwa hakika nishayajibu mara nyingi sana.
Kwa nia ya kuondoa tatizo hili na kwa nia ya kusambaza elimu kwa wote...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.
Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa?
Basi powa twende sasa,
Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length,
Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana,
Michoro hiyo inayokadiriwa kua na umri wa miaka 6,0000 kwa makadirio ya kawaida inaacha utata mkuu...
Habari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza maswali gani kwenye interview za wizara ya mambo ya nje position ya Foreign Officer II, wanakua wanauliza kwenye ngazi ya written interview.
Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo;
Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake?
Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga?
2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi?
3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
Vijana kabla ya kukata tamaa na kutamani kujiua hebu elewa maana ya maisha kwanza.
Hapa duniani tunatumia past kuishi katika present, unabidi kukaa na kutafakari wewe ni nani hasa kumbuka ulichokuja kukifanya hapa duniani.
Wewe ni majibu na sio maswali.
Dunia huwa inatupa maswali na sisi...
Kwenye Suala la kutoa talaka:
Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu;
Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?”
8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda.
Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists:
https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.