God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma.
1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
Wanabodi
Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana mkubwa mmoja.
Spika ametangaza Waziri Mkuu hatapokea maswali, atatangaza jambo mahsusi
Waziri Mkuu...
Kuna maswali ya kijinga huuliza wanawake ukianza kumtongoza. Nasema ya kijinga kwa sababu anakuwa anajua majibu yake au anajua kabisa hawezi kuambiwa ukweli.
Anauliza
1. Mimi ni mwanamke wako wangapi?
2. Kwa nini umepima ngoma? Au kuna demu umepiga kavu
3. Hivi kweli huna demu mwingine?
4. Hivi...
Je, ni kweli unaweza kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao?
Ndiyo, inawezekana kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao.
Je, ni kazi gani mtu anazoweza kufanya kupitia mtandao?
Ni kazi nyingi karibu kila kazi inayoweza kufanywa ukiwa mbali (remotely) inaweza kufanyika mtandaoni na...
Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya...
"Hadi asuswe na Waislamu wenzake, wana TANU na wananchi wote, bali lilikuwapo tatizo kubwa.
Hii haiwezekani ikatokea tu kama bahati mbaya, hapana."
(Kaniuliza Muulizaji)
MOHAMED SAID ANAJIBU:
"Hakika lilikuwapo tatizo kubwa
Katika mkutano uliofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu Nansio...
Naomba nieleweke mimi ni muislamu sijaleta swali kwa lengo la kukejeli ila nataka ufahamu zaidi sitaki kubakia kweny kuta moja kweny hoja hzi.
1, Kwanini mungu hakuleta dini tunazotetea toka kuumbwa kwa huyu adamu?
2, Inakuwaje amewaacha binadamu katika sitonfamu ya imani?
3, Kwanini mitume...
Swali # 1.
Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
Nimekua na maswali yasiyo na majibu.
Kwenye Sayansi tunaambiwa binadamu wametokana na evolution process kwamba ni zao na masokwe sijui nyani.
Kwenye imani za kidini tunaambiwa Mungu aliumba adam na Hawa ndio mwanzo.
swali langu
1. Kwenye sayansi
Je hao nyani au sokwe waliofanya evolution na...
Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia...
BoT ACHENI MAJIBU MEPESI KWENYE MASWALI MAGUMU
BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu hasa hili la upungufu wa dola kwenye mzunguko wa uchumi, Ni kweli ukosefu wa dola ni janga la kidunia lakin kama wataalamu wa uchumi tuliowapa nafasi ya kutusaidia katika maswala yote ya fedha na...
Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa?
Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa Juma Nature kwa kutumia akili ndogo basi hutomuelewa maisha yako yote. This is because, Juma Nature...
Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi.
Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo.
Miaka kadhaa baadae, mume wa...
Maswali yangu ni kama ifuatavyo:
1)Tukiachana na blah blah faida inayopatikana kwa kuukimbiza mwenge ni nini hasa baada ya mabilioni kuteketea kwenye ukimbizaji wa mwenge ni kitu gani kinapatikana.
2)Mwenge huwa unahifadhiwa wapi(Mkoa) na mahali gani(jengo)?
3)Kiongozi wa mbio za mwenge huwa...
Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45
Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili;
''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua...
Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika.
1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961?
2. Mali ngapi bado zipo...
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.