Niaje waungwana,
Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti.
Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
Wanabodi,
Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo.
Ulipaji Bili zetu utakuwaje?
Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje?
Una madeni yoyote na yanalipwaje?
Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
Ni vitu vichache ambavyo vinasisimua zaidi kuliko kuwa na uelewa wa mambo fiche ya ulimwengu kama ulivyo na umbo lake. Na vitu hivyo sio vya watu werevu tu, bali pia ni vya kila mtu kuviwaza na kuvifikia.
Hebu tafakari pale ambapo kwa mara ya kwanza unafaulu kulifumbua fumbo, sana sana kwa...
Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu.
Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.
Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima...
Habari wana JF,
Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics.
Naombeni mnisaidie huwa wanabase kwenye vitu gani hasa, ili nijichimbie huko. Kuna uzi humu wa tutorial assistant...
09 January 2024
Washington DC
Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani
https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY
Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
Habari zenu Wakuu wangu,
Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia.
Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya...
Salaam kwenu nyote.
Tujiulize haya maswali na unaweza kuongeza ya kwako. Maswali haya yanahoji uwezo wa CCM kutuvusha kama nchi kuelekea maendeleo mtambuka.
KATIBA MPYA: Serikali imepora mamlaka ya wananchi kwa kukataa mchakato halali wa kupata Katiba inayoendana na wakati. Majibu ya serikali...
Vifo vya Watanzania wenzetu Joshua na Clemence vya acha maswali mengi yenye kuhitaji ufafanuzi toka pande zote nne:- 1. Serikali ya Tanzania
2. Serikali ya Israel
3. Serikali ya Palestine
4. Chama cha Hamas
Kwa kuanza na taarifa rasmi ya mwanzo kabisa ya Israel kuhusu vijana wetu iliyo toka...
Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali.
Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded.
Ni hivi...
i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje mwalimu ambaye ni mchangiaji mkuu?
ii)Kwanini C.W.T wanakusanya michango kwa wanachama kila mwezi badala ya kukusanya mara moja kwa mwaka kama vyama vingine?
iii) Kwanini...
Mfano mzuri darasani ukiuliza swali simple kila mtu atakuona kilaza na mjinga ila ukiuliza swali gumu utaonekana mwamba!
Kwani kuna uhusiano gani kwenye hivi vitu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.