maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  2. Live Bunge TV: Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo

    Wanabodi Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana mkubwa mmoja. Spika ametangaza Waziri Mkuu hatapokea maswali, atatangaza jambo mahsusi Waziri Mkuu...
  3. Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

    Kuna maswali ya kijinga huuliza wanawake ukianza kumtongoza. Nasema ya kijinga kwa sababu anakuwa anajua majibu yake au anajua kabisa hawezi kuambiwa ukweli. Anauliza 1. Mimi ni mwanamke wako wangapi? 2. Kwa nini umepima ngoma? Au kuna demu umepiga kavu 3. Hivi kweli huna demu mwingine? 4. Hivi...
  4. L

    Making money online - Maswali na Majibu.

    Je, ni kweli unaweza kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao? Ndiyo, inawezekana kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao. Je, ni kazi gani mtu anazoweza kufanya kupitia mtandao? Ni kazi nyingi karibu kila kazi inayoweza kufanywa ukiwa mbali (remotely) inaweza kufanyika mtandaoni na...
  5. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Habari zenu, Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia: "Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya...
  6. Najibu maswali mjadala wa Sheikh Suleiman Takadir

    "Hadi asuswe na Waislamu wenzake, wana TANU na wananchi wote, bali lilikuwapo tatizo kubwa. Hii haiwezekani ikatokea tu kama bahati mbaya, hapana." (Kaniuliza Muulizaji) MOHAMED SAID ANAJIBU: "Hakika lilikuwapo tatizo kubwa Katika mkutano uliofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu Nansio...
  7. Dini zote naomba mnijibu maswali yangu

    Naomba nieleweke mimi ni muislamu sijaleta swali kwa lengo la kukejeli ila nataka ufahamu zaidi sitaki kubakia kweny kuta moja kweny hoja hzi. 1, Kwanini mungu hakuleta dini tunazotetea toka kuumbwa kwa huyu adamu? 2, Inakuwaje amewaacha binadamu katika sitonfamu ya imani? 3, Kwanini mitume...
  8. Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  9. Maswali magumu kwenye imani na sayansi

    Nimekua na maswali yasiyo na majibu. Kwenye Sayansi tunaambiwa binadamu wametokana na evolution process kwamba ni zao na masokwe sijui nyani. Kwenye imani za kidini tunaambiwa Mungu aliumba adam na Hawa ndio mwanzo. swali langu 1. Kwenye sayansi Je hao nyani au sokwe waliofanya evolution na...
  10. Wajuvi wa maswala ya barabara karibu hapa mnisaidiye.hata kama wewe si mjuvi tupe hisia zako.

    Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia...
  11. T

    Msaada hints za maswali ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya

    Msaada wadau maswaya ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya
  12. J

    BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu

    BoT ACHENI MAJIBU MEPESI KWENYE MASWALI MAGUMU BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu hasa hili la upungufu wa dola kwenye mzunguko wa uchumi, Ni kweli ukosefu wa dola ni janga la kidunia lakin kama wataalamu wa uchumi tuliowapa nafasi ya kutusaidia katika maswala yote ya fedha na...
  13. Juma Nature ni Genius: Fahamu kwanini Juma Nature hujibu maswali tofauti na alivyoulizwa na Sababu za kiroho kwanini Juma Nature alianzisha TMK

    Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa? Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa Juma Nature kwa kutumia akili ndogo basi hutomuelewa maisha yako yote. This is because, Juma Nature...
  14. Kwanini vifo vya Amina Chifupa na mumewe Medi Mpakanjia vilikuwa vina maswali mengi kuliko majibu?

    Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi. Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo. Miaka kadhaa baadae, mume wa...
  15. Nina maswali kadhaa kuhusu mwenge

    Maswali yangu ni kama ifuatavyo: 1)Tukiachana na blah blah faida inayopatikana kwa kuukimbiza mwenge ni nini hasa baada ya mabilioni kuteketea kwenye ukimbizaji wa mwenge ni kitu gani kinapatikana. 2)Mwenge huwa unahifadhiwa wapi(Mkoa) na mahali gani(jengo)? 3)Kiongozi wa mbio za mwenge huwa...
  16. Dada punguza maswali ya kijinga kwa mpenzi wako

    Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45 Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili; ''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua...
  17. Kipi unahitaji kufahamu kuhusu GPS trackers? Karibu kwa maswali

    Kipi unahitaji kufahamu haswa?, Uliza swali lako na nitalijibu hapa kwa kina.
  18. Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  19. M

    SI KWELI Shemasi ‘George Rugambwa’ awauliza maswali sita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    Kuna ujumbe unasambazwa WhatsApp, una kichwa kinachosema Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) je, ni wa kweli?
  20. Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo! Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…