matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Yanga SC nawatahadharisha msiidharau Mbao FC leo kwani hata Wababe na Matajiri wa DTB FC hawakuamini kilichowakuta

    Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa ichukuliwe mno na Yanga SC kwani katika Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na Mifano ya hili iko mingi...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Matajiri halali wa dunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha

    Matajiri halali wadunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha. 1. ELON MUSK Bachelor of Physics Bachelor of Economics. Utajiri wake aliupata baada ya kuuza program aliyobuni wakati anasoma 2. 3. 4. 5. Tuendelee kuwataja.
  3. Boniphace Kichonge

    Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Je Mfalme Mansa Musa kutoka Mali ndiye aliyekuwa tajiri zaidi duniani? 11 Juni 2019 Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ndiye mtu tajiri zaidi duniani , kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliotolewa wiki hii. Akiwa na mali yenye thamani ya $131bn (£99bn) ndiye mtu tajiri zaidi...
  4. Kasomi

    Top 10 Orodha ya Matajiri wakubwa Duniani 2022

    Jarida la Forbes ambalo hutoa orodha ya matajiri duniani wametoa orodha ya matajiri wapya dunia. Hii ni orodha ya matajiri 10 kwa mwaka 2022. 1. Elon Musk mmliki wa kampuni ya tesla na spaceX utajiri wake ni $239.2B lakini ameshuka kwa kiasi cha shilingi $1.9B sawa na asilimia 0.79% ya utajiri...
  5. Little brain

    Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

    Mchezaji aliyekua anawekwa benchi na Yanga anakua tegemeo Tp mazembe je inathibitisha yanga ndio timu yenye kikosi kipana east africa nzima?
  6. figganigga

    Matajiri Wamekodi Mbuzi wale Shamba la Mbigili na kulimaliza. Wamekeleka!

    Salaam Wakuu, Baada ya Kuvumilia kwa muda mrefu, sasa wameamua kuoneshana Makali. Mwenye pesa zake kakodi mbuzi washambulie shamba la Mbigili. Wanashindwa kujua Mbuzi anakula Majani, Mizizi ya Mbigili imejichimbia chini. Baada ya Mwenye shamba kuoneaha jeuri ya yasiyowezekana 2021,Sasa...
  7. La Quica

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  8. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Rejea katika historia Hii ni kinyume kidogo Na utaratibu tuliozoea kusikia au kushauriwa na wataalamu Wa kiuchumi au wahamasishaji,motivational speakers. Dhana ya kuweka akiba imekuwa ikielezwa katika misingi ya vitu mbalimbali Na ikipata mashiko kutoka kwenye biblia Na vitabu vingine. Ingawa...
  9. Salumsas

    SoC01 Ugonjwa wa Kisukari: Matajiri wengi wanaangalia pesa zaidi kuliko Afya yako

    Salute Wakuu Utangulizi Wengi mmesikia kuhusu ugonjwa wa Kisukari wengine wakilalamika kuwa na huu ugonjwa hatari au wamekatazwa (hospitali) kutumia baadhi ya vyakula ili kuepuka madhara zaidi ya huu ugonjwa. Trust me I guarantee this is the perfect thread tutaelewa kila kitu hapa na hakuna...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ninachokiona ni vita Baridi baina ya Masikini na Matajiri hapa Tanzania

    NINACHOKIONA NI VITA BARIDI BAINA YA MASIKINI NA MATAJIRI HAPA TANZANIA Na, Robert Heriel Nimejikuta sipendi kuzungumzia siasa za nchi hii. Hii ni baada ya kugundua kuwa siasa za nchi hii ni Vita Baridi Kali inayohusisha makundi makuu mawili; nayo ni masikini na Matajiri. Kwa kweli Mwanzoni...
  11. Inck

    SoC01 Jinsi Ambavyo Waganga Huwafanya Watu Kuwa Matajiri

    Je, umewahi kujiuliza ni kwanini watu wengi wanaamini kuwa bila kwenda kwa mganga huwezi fanikiwa? Bila shaka umewahi kujiuliza, lakini je, ulishawahi kwenda mbele kidogo na kujiuliza ni kwa namna gani hawa waganga huwafanya watu kuwa matajiri? Ni watu wachache hujiuliza swali hili. Basi dhamira...
  12. MK254

    Poleni majirani kwa kupoteza matajiri watano ndani ya siku 6; pokeeni chanjo muache mzaha

    Utani pembeni, kitumbua kimeingia mchanga, huu sio muda wa ukaidi tena, haijalishi una hela au wewe mlalahoi hapo kwa Mpalange. ======= What next after demise of five Tanzanian tycoons? Leaders of the business community yesterday expressed sadness over the loss of five business tycoons that...
  13. B

    Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

    Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao: 1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry) 2. Tonil Somaiya (Shivacom) 3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam) 4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel) 5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group) Kina yakhe wangapi...
  14. Yoda

    Wapi matajiri wanapatia na maskini wanakosea?

    Wakati wote tangu dunia kuwepo, ulimwenguni matajiri ni wachache sana wakati mafukara ni wengi sana. Inakadiriwa asilimia 1 ya matajiri duniani wanamiliki asilimia 50 ya utajiri wote duniani! Harakati nyingi duniani ni za kuwapa masikini unafu wa maisha. Kuna elimu bure, COVAX, MKUKUTA, LHRC...
  15. ndege JOHN

    Je,Ni kweli kuwa matajiri Wengi hawa enjoy maisha?

    Niliwahi kusikia mahali kwamba heri masikini na watumwa wao ndo hawanaga stress kama boss eti kwamba matajiri wanateseka sana japo wana hela lakini haziwasaidii kupata furaha Wala kupata usingizi mzuri wala kuwa na amani ya moyo naombeni tu kujua kama ni kweli au ndo zetu maskini kujipaga...
  16. Mwande na Mndewa

    Hayati Dkt. Magufuli alichangisha matajiri na wasaidizi wake, hao ndio wenye hela

    Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount. Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount. Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu. Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300. Kwa...
  17. Mpinzire

    Huku ni kuwaumiza wananchi wenye uchumi wa chini, Hayati Magufuli alipambana na matajiri ili wenye hali tete tupumue

    Mh Rais Samia hichi ulichotuletea cha ada ya ya kizalendo hatuitaki. Huku ni kuwaumiza wananchi wenye uchumi wa chini maana ndiyo watumiaji wakubwa wa hizi huduma ulizotuongezea! Mwenzio alipambana na matajiri ili wananchi wenye hali tete tupumue lakini wewe unakuja kutubana sisi ili wao...
  18. Kasomi

    Je, kuna siri gani kati ya siasa na matajiri wa Tanzania?

    Habari za kushinda wakuu, Je, ushawahi waza kati ya siasa na utajiri? Na kwa nini matajiri wengi wa Tanzania wanaingia katika siasa. Asilimia kubwa ya Matajiri wakubwa Tanzania washawahi kuingia kwenye siasa au wapo tayari kwenye siasa. Je, kunanini kwenye siasa? Licha ya hayo yote matajiri si...
  19. A

    Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

    Mzee Bozi Boziana amevaa track suit ya Christian Dior lakini Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon huvaa nguo za kawaida sana.
  20. Sky Eclat

    BBC News: Hivi ndivyo matajiri wakubwa hutumia pesa yao

    https://www.bbc.com/swahili/habari-57510899.amp Pesa ni kitu cha ajabu sana, mtu anazitafuta kwa udi na uvumba na anapozipata anazitumia kwa matumizi yake aliyojipangia au alichokipatia kipaumbele. Lakini kama wanadamu tunatofautiana katika matumizi. Jarida la Business Insider liliwahi...
Back
Top Bottom