Pamekuwa na porojo za vita ya kuondoa umaskini hii ikamaanisha pia kuondoa maskini katika jamii. Lakini kwa uhalisia dunia haitakalika kama umaskini utaondolewa na maskini kutokweka sawia. Bila maskini:-
1. Kazi za mazingira magungu wanazozifanya zitakisa watu wa kuzifanya
2. Wanataaluma kama...
Nimefurahi uchaguzi unaendelea ndani ya CCM ni hatari tupu, wale matajiri waliowekwa kando na Mh Mwendazake, sasa wanarudi Kwa kasi kasi ya 4G.
Ninaikumbuka sana CCM ya kabla ya Magufuli, ilivyokuwa tulip kuwa na macho tunakumbuka wenyeviti wa CCM mikoani walikuwa wafanyabiashara wakubwa sana...
UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA.
Anaandika, Robert Heriel
Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
Ripoti ya "The wealth report" inayoandaliwa na kampuni ya Knight Frank ya Uingereza ya 2022 inaonesha Tanznia ni nchi ya 7 Afrika kwa utajiri binafsi na kuwa na bilionea pekee Afrika Mashariki na kati.
Idadi ya mamilionea wa dola yaani watu wenye utajiri wa kuanzia dola za Marekani 1,000,000...
Elon Musk tajiri Mpya wa Twitter amesema watu ambao wako Verified huko Twitter watalipia Tsh 19,000 kwa mwezi na sio Tsh 46,000 tena. Wakishindwa kulipa wataondolewa Verification badge ( Blue tick). Pia amesema mtu yoyote yule atakaye kuwa tayari kulipia kiasi hicho naye atakuwa Verified.
Kwa...
Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina.
Bodi hiyo imesema itahakiki na kuwatambua wanafunzi wanaotoka familia za kitajiri, uhakiki huo utaathiri pia...
Nikiangalia kwa mabara ya wenzetu, kwao matajiri kumiliki ndege binafsi ni kitu cha kawaida; sasa najiuliza kwa huku kwetu, tatizo ni nini?
Ni kwamba, hawana hela za kununua hivyo vyombo au ni kutokana na gharama kuwa kubwa za kiuendeshaji?
Kwa sababu usafiri na majengo, wengi wanamiliki...
Nimekutana na andiko hili la ndugu yetu, nikaona si vibaya tukashea pamoja, maana naona kaandika vitu vingi vya msingi kwa mtazamo wangu, japo sikulazimishi kuamini kama ni kweli au la, msome ndugu Mushi....
88888888888888
Na Thadei Ole Mushi
Kama kuna jambo ambalo nitasimama kidete...
Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
Messi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani.
Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa Brunei - mwenye utajiri wenye thamani inayokadiriwa kuwa $20 bilioni (zaidi ya Tsh. Trilioni 46)...
Mtazamo wangu;
Kama tukichukua matajiri wakubwa 1000 wanaotokana na umiliki wa viwanda; viwe vya kati au vikubwa.
Pamoja na matajiri 1000 wanaotokana na kilimo; wakapewa sera nzuri ya kodi, sera nzuri kwa masoko ya nje, sera nzuri katika kuagiza vipuli, na wakawezeshwa kwenye mitaji ya...
Sasa acha nikusanue leo hii ukitazama orodha ya watu matajiri zaidi duniani basi kwenye top 20 yao.
Utakutana na wanawake watatu na wanaume 17.
✓ Wanawake ao ni Bi Francoise Bettencourt ambae yupo nafasi ya 14.
Ni mfaransa mrithi wa kampuni ya vipodozi ya L'Oréal ambaye anamiliki 33% ya...
Haijafahamika nani anayewaua na kwa nia gani, kwa kweli Putin anatumbukiza nchi pabaya...
The chairman of Russia's Lukoil oil giant, Ravil Maganov, has died after falling from a hospital window in Moscow, reports say.
The company confirmed his death but said only that Maganov, 67, had "passed...
Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia
Wakenya sio waumini sana wa...
Katika hali isiyo ya kawaida vurugu zimeibuka katika msiba wa watoto wawili wa matajiri jijini Arusha ambao walikuwa ni wachumba waliofariki ajalini jana ambapo zimepelekea mwandishi wa habari kutoka AyoTV kunyang’anywa camera.
Mbali na kunyang’anywa camera mwandishi huyo alinyang’anywa kadi...
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.
Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.
Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa...
UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL
Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu..
Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise...
Yaani wanaotoa elimu zaidi jinsi ya kupata utajiri ni watu maskini hahahahaha.
Kwa nini watu matajiri wasitoe nyuzi za jinsi ya kupata utajiri na kuondokana na umaskini? Halafu nao maskini watoe experience yao kwenye umaskini?
Sasa, unamkuta maskini ana full info za utajiri na umaskini at the...
Wakuu
Poleni na majukumu.
Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi.
Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.