matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. enzo1988

    Matajiri bwana!!!!!!

    Matajiri wa dunia wanataka kuzichapa!!!!!!! Usikute huo nao ni uwekezaji!!!!!!!!!! Hiyo sababu ya kupigana sasa!!!!!!!! Musk picks location for ‘cage match’ with Zuckerberg The Meta CEO accepted a challenge issued by the Twitter owner Twitter owner and Tesla CEO Elon Musk and Facebook...
  2. Roving Journalist

    Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  3. Jaji Mfawidhi

    "Matajiri" wa ada estate na maskini wa kinondoni shamba"

    In 1888, in Chicago United States of Ameerica A bridge was built to connect two parts of the city. A toll was charged but officials wanted it to be a "progressive" tax. Rich people will pay more to cross. So how could they identify rich and poor quickly? They had an idea, rich people wear...
  4. J

    Huu uhaba wa dola unasababishwa na miradi ya pupa aliyoianzisha Magufuli akijitapa sisi ni matajiri

    Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla...
  5. Tajiri Tanzanite

    Wanaume matajiri wanawaoa maroboti ya kike

    Hapo vip! Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida. Na ukiwaona hauwezi kuwatofautisha na wanadamu. Alon Mask,ambaye ni tajiri wa kwanza Duniani amemuoa Roboti ya kike.Nadhani asilimia kubwa ya watu watatamani kuwa na hizi...
  6. D

    Matajiri wa malori msinyanyase madereva wenu

    Kuna matajiri wa malori wanapenda kuonea madereva wao hasa wanapowapa malori kupeleka mizigo nje ya nchi, kwanza malori yanabebeshwa mzigo mzito kuliko uwezo wake. Dereva anapewa hela ya kuhonga mizani, na dereva akiishiwa diseli anashurutishwa anunue mwenyewe, na lori likiwa na overload...
  7. R

    Mwaka huu kufuturisha kumetumika kisiasa kuliko kiimani; matajiri na wanasiasa wamejifanya ifta kama kongamano; tupate mwongozo next time

    Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani? Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
  8. BARD AI

    Jeshi la Polisi lawataja Matajiri wa Singida kuhusika na ufukuaji Makaburi

    BAADHI ya matajiri wanadaiwa kuwezesha mauaji ya watu, wizi wa vitu na viungo vya maiti vinavyofanywa na wanaofukua makaburi, wilayani Manyoni katika Mkoa wa Singida. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amesema hayo akizungumza na vyombo vya habari mjini Singida, kwamba...
  9. R

    Upungufu wa nguvu za kiume na kike upo hadi kwa matajiri na wanasiasa au ni maskini pekee?

    Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
  10. Mganguzi

    Matajiri wanaitwa Ikulu kupata futari, sisi walalahoi tutaitwa 2025 kupanga foleni kupiga kura!

    Wandugu asalaam! Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
  11. kibangubangu

    Huwezi kuwa tajiri kwa pesa za matajiri

    You can't start to be rich if you tagert money from rich people. To be rich target money from poor people. Poor people offer big market and demand. Because poor people are MANY and always are in NEED! Kibangubangu presents.
  12. Pang Fung Mi

    Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

    Wasalaam JF, Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu. Yawezekana KKKT imemfanya Mch...
  13. Izy_Name

    Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  14. F

    Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita. Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

    Nawakumbusha tu vijana. Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao. Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
  16. R

    Serikali ifikirie kuwepo na siku ya Ugali Tanzania; watu wale ugali kama ishara ya kuenzi chakula hiki muhimu kilichokataliwa na wengi wenye mafanikio

    Kwenye maeneo yote yenye maendeleo aidha kwenye familia au jamii au walipokaa watu kwenye tafrija tunakutana na vyakula vifuatavyo; 1. Wali 2. Pilau 3. Viazi (chips) 4. Nyama 5. Ndizi nk Ugali umetengwa nakufanywa siyo chakula chakuliwa na watu maalumu. Sijajua tatizo ni chakula cha masikini au...
  17. BARD AI

    Warusi Matajiri wazidi kuongezeka licha ya Vikwazo

    THAMANI ya pamoja ya watu tajiri zaidi Urusi imeongezeka kwa dola bilioni 10.4 tangu Januari mwaka huu licha ya vikwazo vya Magharibi vilivyowekwa kwa wafanyabiashara wa nchi hiyo, Bloomberg imeripoti. Vladimir Potanin, mmiliki wa kampuni kubwa ya madini ya Norilsk Nickel, ameongoza kwa mara...
  18. Mwizukulu mgikuru

    Wazee wa legacy wengi wao wanawachukia matajiri na ni mafukara wakubwa

    Wale wanaojifanya ni wazalendo na wazee wa legacy ya mwendazake wengi wao ni mafukara wakubwa. Wamepambana na maisha wamechoka na wamekata tamaa wamebaki kuwachukia matajiri wakihisi matajiri kama akina Rostam Aziz ndio wanaokula riziki zao. Aisee wazee pambaneni kama bado upo hai haina haja...
  19. The Burning Spear

    Zamani matajiri walitoa hela kwa masikini, sasa masikini wanawapa hela matajiri

    Nyakati zimebadilika kwelikweli, zamani mtu masikini alithaminiwa sana na kuonwa mtu wa kupewa msaada lakini sasa hali ni tofauti nahisi ubepari umeptiliza. Karne hii masikini anahenyeshwa kweli kweli siyo serikalini, kanisani wala msikitini matajiri wanazidi kutajirika masikini wanazidi kuwa...
  20. Mamujay

    Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

    Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo
Back
Top Bottom