matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    Biashara Kuu za Mtu Mweusi

    Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua uwepo wa utajiri katika bara la Afrika, tamaduni zake pamoja na mandhari mbalimbali. • Ndio, kuna...
  2. MK254

    Matajiri wakubwa wa Marekani kutembelea Israel kuonyesha wanafungamana na Israel kwa vyovyote

    Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa wote hivyo amekaa anasubiri kiama cha kuwamaliza Wayahudi, anasahau kila anachokitumia kimetokana na...
  3. GoldDhahabu

    Ni kosa Wakristo kuwa matajiri?

    Nimeshasikia mara kadhaa mahubiri yenye maneno yanayofanana na haya: 1. "Ole wenu wahubiri mnaowahubiria watu uponyaji na mafani" 2. "Makanisa ya siku hizi yanahubiri mafanikio tu" 3. N.k. Ni kosa Wakristo kufundishwa jinsi ya kufanikiwa kifedha na kuwa na afya njema? Kuna ubaya wo wote kwa...
  4. Naanto Mushi

    Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
  5. Eli Cohen

    Hii ndio sababu kwanini jamii kubwa ya Wayahudi ni matajiri na chuki dhidi yao ilivyokuzwa enzi na enzi

    ■AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa kwanza aitwae Ismael aliezaa na mjakazi wake kutokana na utasa wa Sarah kabla ya kuambia...
  6. R

    Viongozi wakuu wa CHADEMA siyo maskini wala matajiri; wana amani na fikra huru. Kuna la kujifunza kwao

    CHADEMA ina viongozi ambao siyo matajiri sana na siyo maskini sana. Siyo mafisadi wala hawana nafasi yakupata kipato kisicho halali. Wanafamilia sawa na viongozi wa CCM na wanavaa na kula kama wenzao wa chama tawala. Pamoja na kuwa na kipato cha haki ila wako huru kueleza hisia zao kisiasa...
  7. Kiplayer

    Kiafya masikini wana muda wa kupumzisha akili kuliko matajiri!

    Tajiri sehemu kubwa ya maisha yake anawaza kutafuta na kulinda alichonacho. Masikini hana cha kulinda anawaza kutafuta chakula na kulala. Ukiachana na nature masikini yu salama sana wakati tajiri usalama wake umejaa mashaka, ndio maana ulinzi ni wa kutosha.
  8. Mhaya

    Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania. Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
  9. sky soldier

    Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

    Navyoona ukristo haukuwahi kudhania kama dunia itakuja kufikia zama za sasa, leo hii inawezekana kabisa mwanaume alie marekani kusafirishia mbegu za kutunga mimba kwa mwanmke alie Tanzania. Pengine Mungu alikataza watoto wa nje kurithi mali huko dini nyingine kwa kujua tutafikia zama hizi za...
  10. Kinyungu

    Siku Matajiri walipokutana Dsm - Tanzania

    Novemba 19, 2019, Nchi tajiri duniani zilikutana mjini Dar es Salaam na mwenyeji wao Tanzania ambayo wakati huo ilikuwa tajiri pia....sijui imekuaje tena kwa sasa kila siku tunatembeza bakuli la kukopa? Au ndiyo yale ya kila tajiri ana mokopo? johnthebaptist Tumerudi kwenye umasikini? Kwa kweli...
  11. Bunchari

    Mabadiliko ya mifumo ya kisiasa huletwa na matajiri, usitegemee mwananchi wa kawaida kuondoa chama tawala madarakani

    Amjambo? Nimekua nikifuatilia hali ya kisiasa nimekuja na kitu,siku zote mapinduzi ya kisiasa ufanywa na watu wenye pesa usitegemee common mwananchi kusimamia jukumu ili kwa sababu mbili,kwanza hana resources za kumsaidia haki upande wa mahakama na pili hana kipato cha uhakika kuendesha familia...
  12. F

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  13. Victoire

    Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

    Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari. Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana. Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni...
  14. kibangubangu

    Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

    UNAPO SHANGAA KWA NINI MATAJIRI WANA WATOTO WACHACHE, SHANGAA PIA KWANINI MASKINI WANA WATOTO WENGI. Ila ukirudi katika hesabu utagundua kwanini mmoja maskini na mwingine tajiri. Kwa malezi ya kistaarabu Mtoto mmoja gharama ya malezi yake hadi akifika chuo na kuanza kujitegemea ni miaka si...
  15. R-K-O

    Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  16. Intelligent businessman

    Kwanini wanawake wa kiafrika hawataki kuwa matajiri, ila wanataka haki sawa?

    KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI?? Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye...
  17. I

    Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  18. hery_edson

    List ya Matajiri 10 katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) mpaka Juni 26, 2023

    Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023. The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the...
  19. J

    Mwigulu: Aliyetaka kuwashusha matajiri waishi kama masikini alikuwa na ''Sadist mind''

    WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haikusudii kuwashusha matajiri ili walingane na masikini kwa kuwa hiyo ni "sadist mind" na kwamba itaendelea kutekeleza miradi ya kimkakati ili kuhakikisha kila mmoja anapanda. Akihitimisha mjadala wa Bajeti, Dk Mwigulu amesema...
  20. Forgotten

    Hivi ni kwanini Waafrika wana chuki na matajiri?

    Nimekuwa nikifuatilia habari za kupotea kwa submarine inayomilikiwa na OceanGate iliyokuwa ikifanya safari yake katikati mwa bahari ya Atlantic kuelekea chini kabisa kwenye kina kirefu kutazama mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama 1912 ila kinachonishangaza ni kuona muendelezo wa chuki binafsi za...
Back
Top Bottom