Katika jamii yoyote huwa kuna utofauti wa vipato kiuchumi kwa makundi mbalimbali ya watu.
Sio jambo jipya kwamba kote duniani na hata hata bongo Wapo watu masikini kabisa, wa kipato cha kawaida, kati, matajiri na matajiri waliopitiliza. Jipya la sasa ni ibada kwa matajiri, watu wamekuwa...
Iwe Tanzania na Duniani, tumezoea kuona msanii fulani amenunua gari fulani la kifahari.
Magari mengi ya kifahari hayapo practical kwa matumizi ya kila siku.
Sasa hapa ndio daily driver cars zinapoingia, izi za kuendesha kila siku.
Mfano:
Unakuta Diamond Platnumz amenunua Rolls Royce lakini...
Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
Mara nyingi kujiingiza kwenye uchawi sio mwanzo wa kusaka utajiri..safari kwa waganga huanza pale mafanikio yanapoanza pale ambapo wasiwasi na pressure zinawakumba wanaona kama wanatapeliwa na kuibiwa muda wote hivyo wanashawishika kwenda kwa ajili ya ulinzi na huko ndipo wanapokutana na...
Matajiri 435 wa Tanzania wajiunga katika orodha ya mamilionea duniani
Takriban watanzania 435 wamekuwa mamilionea wa dola mwaka uliopita kulingana na ripoti ya utajiri ya Knight Frank.
Waliojiunga katika klabu hiyo ya matajiri wana jumla ya thamani ya kati ya dola milioni moja hadi dola...
Wasalam wakuu,
Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa
namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama ntilie leo namiliki hoteli kadhaa mjini, mwingine anasema nilianza kushona viatu ila sasa na miliki...
Mark Zuckbereg - Facebook, Whatsapp, Instagram, n.k.
Bill Gates - Microsoft
Tayari walikuwa wametengeneza pesa, wana wafadhili wa projects zao...Wewe kijana unaetaka kuacha masomo kitu pekee unachomiliki kilaptop na simu unataka kuwaiga fikiria mara mbili, do your research.
Sio hivyo tu, hawa...
MASKINI ATABAKI KUWA MASKINI TU KAMA ATAENDELEA KUWA NA MARAFIKI MASKINI 😔
Hii sio makala nzuri kwa maskini ambao wameridhika na hali hiyo hivyo kama umeridhika na umaskini basi acha kabisa kusoma ila kama upo kwenye vita ya kujikwamua kama mimi basi inawezekana ikawa makala yenye mwanzo mpya...
Ndugu Msomaji,
Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio.
Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok.
Kitu Ambacho Kilibadilisha Kabisa Mwelekeo wa Maisha Yangu Mpaka Leo.
Dan Lok Alifanya Utafiti wa Kisiri na Akagundua Kwamba...
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa...
Wengi wao wanaotamani utawala kama wa mwendazake urudi tena kwa mara nyingine ni wale waliokuwa wamebatizwa jina la "wanyonge"😀😀😀
Na hawa wengi wao wanawachukia sana matajiri, hutamani kuona tajiri akifirisika na kuwa kama wao. Na wengi wao wanatamani utawala kama ule wa mwendazake ili matajiri...
Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo,
Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama
,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo
"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
1. Aliko Dangote
Net worth: $13.9 billion
Net worth in 2023: $13.5 billion
Origin of wealth: Cement and Sugar
Age: 66
Country: Nigeria
2. Johann Rupert and family
Net worth: $10.1 billion
Rank in 2023: 2
Net worth in 2023: $10.7 billion
Origin of wealth: Luxury goods
Age: 73
Country: South...
tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ?
Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
Kisaikolojia ikoje?
Unakuta mtu amepambana kivyake Sasa amejipata.
Kipindi anapambana kutafuta mtaji, connection na ramani, watu wanakuona tu.
Sasa ukianza kuinuka kupata japo kidogo uhakika wa watoto kwenda shule vita inainuka.
Utaitwa jambazi.
Utaitwa muuza madawa ya kulevya.
Utaitwa shoga...
Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya...
Natoka Mwanza, kutoka Kibaha hadi Kimara nimeona tayari vituo zaidi ya Nane vya Mafuta vimejengwa kwenye hifadhi ya barabara.
Ninaamini hivi vituo havikuwepo kwenye ramani ya barabara kwa wingi huu. Lakini pia naamini haya maeneo hayakutengwa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya mafuta lakini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.