Kupanda kwa idadi ya Waisraeli walioangaziwa kwenye orodha ya Forbes kumechangiwa zaidi na kuendelea kukua kwa tasnia ya teknolojia ya hali ya juu ya Israeli.
Waisraeli 42 waliovunja rekodi walijumuishwa katika orodha ya Forbes Mabilionea Duniani kwa mwaka 2024, iliyochapishwa mapema wiki hii...
Sio kisa kimoja kwa kwa matijiri hata facebook yenyewe ilitokea kwenye whatsapp.
miaka ya 90 kampuni ya yahoo ilikuwa ndio namba moja kama unavyo tumia google na JF leo hapa jukwaani.
Mwaka 1998 kutokana kuwa ndio kampuni kubwa tajiri,Google wakati inaanza ilikataliwa kununuliwa na Yahoo kwa...
Habari wanajukwaa,
Heri ya Kwaresma kwa ndugu zangu wakristo.
Ramadham Kareem kwa ndugu zangu waislam.
Kama ilivyo kwa wengi, katika harakati za upambanaji unajikuta una team up na wadau kadhaa katika kujaribu kuona ni namna gani mnaweza mkayafikia malengo kwa ukubwa, haraka na unafuu. BAsi...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Shirika la Kupinga Rushwa na Ufisadi la Transparency wa Mwaka 2013 uliohusisha kuangazia mitazamo mbalimbali ya watu kuhusu Rushwa, watu wenye hali duni ya Kiuchumi na wanakabiliwa na athari za rushwa kwenye huduma za Umma kwa kiwango kikubwa zaidi.
Utafiti...
Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri.
Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
Namkumbuka Mzee Maeda...alikuwa na majumba na mabasi ya Kilimanjaro Bus Service (1967) Ltd.
Yeye na mkewe walikuwa ni wachapa kazi balaa...mzee yuko stand anabeba mizigo kama kuli na kuipandisha juu ya carrier.
Kuna siku basi imepakia abiria dereva kaingia kwenye basi kalewa,mama akamshusha...
Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi.
Agha...
Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti la kwanza huwa ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni, hawa watu wametupiga gepu refu sana, hata top 20 ya matajiri huwezi kuta mtanzania wa asili, wakimbiza vibaya mno !!
Tukiwatoa hao waarabu na wahindi ndio tunafuata sisi watanzania...
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo, kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka, na huenda wakafirisika baada...
Salaam,Shalom!!
Zamani, mwalimu wa Shule ya msingi, alikuwa na uwezo wa kuchukua fomu na kugombea ubunge na akashinda, sasa hivi akijaribu, atakutana na kikumbo Cha tajiri au .toto wa kiongozi mkubwa serikalini na kutupwa mbali.
Kuwa tajiri Kwa halali Si DHAMBI, Hilo liwekwe wazi. Na mada...
Leo nilikuwa napitia mtandao wa matajiri na taarifa za mabilionea mbalimbali Duniani, kwenye mabara, na hasa Africa na nchini Tanzania.
Nimeshangaa kuona wanawake kwenye haya mambo hawapo kabisa, wakati utafiti jamii usio wa kitaalam imegundulika mwanamke ndio kiumbe anayependa Pesa na mali...
Nimekuwa nikisikia kuwa wabunge wetu hawalipi kodi kwenye mshahara mnono wanaopata. Kuwa walimu wanalipwa Tsh 400,000 lakini kamshahara hako kanaliwa na PAYE.
Wabunge wetu wakiwa kwenye vikao, sitting allowance na Perdiem wanakunja 470,000 kwa siku, Mshahara wa mwisho wa mwezi nao mnono...
Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi.
Msikilize mwenyewe.
---
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini...
Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni 207.9.
List ya mabilionea 10 duniani:
1. Bernard Arnault & family - TZS Trilioni 524.3
2. Elon Musk -...
Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) wanawasilisha kwa mara nyingine tena ombi lao la kutaka kukatwa kodi zaidi kwenye utajiri wao uliokithiri.
Kwa pamoja matajiri hao wamesema kumekuwa na gap kubwa kati ya maskini na matajiri na hivyo kuwafanya...
BREAKING;
Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq.
Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa.
Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
Unatakiwa utafute pesa hadi ifikie hatua pesa ulizotafuta zenyewe zinaanza kutafuta pesa nyenzake zaidi.
Unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma bila kujionea hurumq hadi ifikie hatua huitaji bidii kubwa kupata kipato.
Kwa hiyo bidii yako lazima iwe na malengo hata kama bado...
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.
Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.
Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.