Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,210
- 6,774
Watu wengine wan kero sana. Mtu anakuona sehemu ume chill anakuja kukushangaa shangaa. Mara anauliza hii saa ulinunua wapi? tsh ngapi? Hizo sandals mbona kali sana? Sijui we mbona una ngozi laini kama ya mtoto unapaka nini? Na huyo anayeniuliza ni mtoto wa Tajiri mmoja huku Dubai.
Mara mbona una walinzi na wasaidizi kila sehemu.... Yaani ni kero tu. huyu baba yake kwa hapa Dubai ni kama Bakhressa. Ila amenishangaa sana huyu Mwarabu. Na hajaweza ficha mshangao wake.
Nimeva sun glass kali sana from designer mmoja Italy. Nlinunua Usd 95,000 Sasa ametajiwa bei ya miwani niliyovaa na mlinzi wangu kashtuka mpaka katoa gesi sehemu yake ya haja kubwa. Nadhani tu ji sababu ya mavyakula aliyokula ya spices nyingi. Akauliza kama miwani hivi na saa itakuaje?
Ndo mlinzi akamjibu jibu ambalo kwa kweli nliwahi sikia zamani nikaona ni la kihuni. Kamwambia
"bei ya miwani nimekutajia umejamba, je nikikutajia ya saa si utakunya kabisa?"
Hapo nikamwambia a apologise asiwe rude. Akaomba msamaha kwa tajiri mtoto.nikamwambia pia Tajiri aje Tanzania nitamkutanisha na mtu akauziwe Mbuga flani awe anakuja winda wanyama. Kafurahi sana anasema anapanga safari ndani ya mwezi huu aje. Amemsamehe yule mlinzi wangu na tumekuwa marafiki. Wakati mwingine tunajenga marafiki kutoka kwenye ugomvi au kutoelewana.