Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi...
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !
Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.
Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi...
Kikundi cha wawekezaji kutoka Qatar wapo tayari kutoa ofa ya kuinunua Manchester United, ambayo haitowezwa kufikiwa na matajiri wengine wanaotaka kuinunua timu hiyo.
Familiya ya Glazer, ambao ndio wa miliki wa klabu hiyo wanataka kuiuza kablu hiyo katikati mwa mwezi huu wa February.
Mtandao...
Serikali inapoamua kuchukua hatua dhidi ya masikini iweke usawa kama wanavyochukua Kwa matajiri. Tanzania hakuna tajiri anayekaa mahabusu, hakuna tajiri anayesota mahakamani, hakuna tajiri anayebomolewa nyumba Bila taratibu Kwa Sababu atadai fidia...Ila masikini Hadi huruma. Na pale tajiri...
Huyu jamaa mda wote ni kutukana watu wote wasio na kipato kama yeye. Kazi ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera sana. Sio uungwana kama ni fedha ni zako sie zinatuhusu nini?
Habari ndugu zangu,
Naishauri serikali iweke vipaumbele vya kutengeneza matajiri wazawa weusi wenye asili ya ndani ya nchi tokea enzi za mababu. Mfano kama kwa Nigeria alivo Aliko Dangete,au hapa kwetu the Late Reginald Mengi.
Hii Ina maana kubwa sana kwa nchi. Leo hii tajiri namba moja...
Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo.
Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi.
Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi...
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.
Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.
Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa...
Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022.
Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
Mwambieni kama akitaka kufanya Utafiti wa mwana Simba SC gani ANAMCHUKIA/ HAMPENDI kwa Upuuzi wake anaotufanyia kwa Kutumika na Maadui zetu Wakubwa mwambieni Mimi GENTAMYCINE ni Mmoja wao na tena naweza hata kuwa ni Kinara.
Kazi Kubwa anayoijua na kuiweza ni Kumroga tu Kipa Mwenzake kwa Mganga...
Sidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500.
Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa...
Asalaam!
Ndugu wana jf, tafadhari nina mpango wa kuanzisha chama cha siasa nisaidieni, nipate kifupi cha hayo maneno hapo juu. Naogopa kubanwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini. Chama Cha Matajiri na Masikini.
Ni hayo tu natanguliza shukrani
Wadiz.
"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
Wanauawa kwa vifo vya kutatanisha...
Dmitry Zelenov, a Russian real estate tycoon, died while visiting friends in Antibes, a coastal city in France. According to French newspaper Var Matin, Mr Zelenov died after tumbling from a flight of stairs on December 9.
He was having dinner with friends...
Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani.
Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
Wananchi hawasajili wala hawachangishani fedha za kusajili. wanaosajili ni mtajiri. Ila wananchi bado wanasema timu ni yao
Wananchi hawatoi hela za kuendeshea Klab, mitaani wanajisifu timu ni yao.
Wananchi hawajui hata Jezi wanazovaa mitaani zimeiingizia Klab shilingi ngapi, ila matajiri...
Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.