Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri kwamba tunapaswa kuwa na mfumo wa kufanya kazi Mchana pekee?
Kwanini Polisi wasisimamie usalama wa...
Habari wadau.
Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana.
Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3.
Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
Habari wadau.
Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi.
Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao
Ila sisi weusi kila tajiri...
Hivi huku wote ni matajiri au? Kwasabu Mimi kilanikileta mada zangu za laki mbili, tatu, Watu wananikejeli.
Isije kuwa nimevamia chaka la maboss tu, Wanaohitaji nyuzi zinazo husu bilioni kadhaa.
Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda?
Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la...
Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili.
Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa matajiri wataishi kama mashetani. Ndipo akaanza kiwazushia tuhuma mbalimbali na kuanza kufunga...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani:
Sababu za Wamarekani kupewa tenda
"Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini.
Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa...
Rafiki yangu mpendwa,
Kitu ambacho watu wengi huwa hawajui ni kwamba utajiri au umasikini ni matokeo.
Na kisababishi cha matokeo hayo huwa ni tabia ambazo mtu anakuwa nazo.
Ninachomaanisha ni kwamba hakuna mtu anayezaliwa tajiri au masikini.
Bali kila mtu hutengeneza utajiri au umasikini...
SCENARIO
Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya.
Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira...
FLACK BACK
Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu.
Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo.
Hebu cheki...
Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers.
Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua .
Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa...
Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo.
Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
SpaceX imeandaa safari za matajiri watatu wakiwa na wataalamu wao wa anga kwenda anga za mbali ambapo watatumia wiki moja wakitalii sehemu hiyo ya nje ya dunia.
Matajiri watatu, mmoja mmarekani, mkanada na muisrael wamelipa Dola milioni 55 sawa na Tsh. Bilioni 127 kila mmoja kwa ajili ya nauli...
Salam bosses! Mnajua kuna vitu vinafurahisha sana, tena sanaaa[emoji3]
Hivi nini maana ya Fogo? Fogo ni mwanaume mwenye fedha nyingi zilizopitiliza uwezo wa wastani wa kipato cha raia wengi wa nchi husika, ambaye pia ana elimu au maarifa ya kutosha. Sambamba na kuwakumbatia wahitaji.
Tuelewane...
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar.
Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika...
1. Josephat Mwingira
Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20
Anamiliki
Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi
Kiwanda cha maji Kibaha
Mashule
Na bank
Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion
2. Geo Darvie
Anamiliki magari ya kifahari
Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion...
The poor pay taxes for the rich to grow
In 1888, in Chicago
A bridge was built to connect two parts of the city. A toll was charged but officials wanted it to be a "progressive" tax. Rich people will pay more to cross.
So how could they identify rich and poor quickly?
They had an idea, rich...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.