Ndugu ujambo
Humu ndani kila mtu amejiunga akiwa na lengo lake, wapo waliojiunga na malengo yao yakatimia na wapo ambao wamejiunga hayajatimia bado lengo lao.
Kundi la kwaza ni wale waliojiunga kwa lengo la kupata kazi kutokana na shuhuda za watu mbalimbali ambao walipata michongo kupitia JF...