Habari wakuu wa JF
Katika harakati za kujiunga nikawa napitia menu yao ya vifurushi, na kulingana na vocha nilionunua ya elfu moja a.k.a buku, nikawa nimependa kifurushi ambacho kwa elfu moja kulingana na menu yao ya vifurushi napewa MB 550, dakika 60 na sms 30.
Baada ya kujiunga kifurushi...